simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Greatest Of All Time

    FT: Simba SC 3-1 Singida Big Stars | Estadio Benjamin Mkapa | 03/02/2023

    Majira ya Saa 1:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki,Mnyama mkubwa mwituni, Simba SC watashuka dimbani katika dimba la Benjamin Mkapa kuwakaribisha wana alizeti Singida Big Stars. Mechi inategemewa kuwa ngumu, maana katika mchezo wa kwanza pale Liti, Singida, timu hizo zilitoshana nguvu...
  2. GENTAMYCINE

    Uchaguzi Mkuu wa Simba SC kesho ndiyo utakuwa kipimo changu kama wana Simba SC wana akili au ni kweli mambumbumbu

    Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa. Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
  3. GENTAMYCINE

    Wale mliosema Simba SC ya Olivieira ilicheza Mechi ovyo, je, Simba SC ya leo ya Mgunda imecheza Mpira mzuri?

    Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda? Mkiambiwa hamjui...
  4. Kipenzi Changu

    FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

    Wanasoka tumeteseka WanaSimba tumeteseka WanaJF tumeteseka Kila mtu ameteseka Hata wanaUto wameteseka Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso. Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso...
  5. GENTAMYCINE

    Simba SC hivi kweli 'a Competent CEO' anaweza kupewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 ) na Taasisi inayojitambua?

    Sasa kama mmempa Imani Kajula kuwa CEO wa Simba SC kwa hii Miezi Sita ( 6 ) tu kwanini msimuite Kaimu CEO ili tujue moja. Acheni kudhani wana Simba SC wote hawana Akili kama mlivyo sawa? Hivi katika Corporate World na Taasisi yenye Uweledi na Umakini CEO anayepewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 )...
  6. U

    Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  7. GENTAMYCINE

    Huyu ndiyo Maulid Kitenge anayeshangaa Simba SC Kubebwa na Ratiba ya Ligi, ila hashangai Yanga SC yake Kutwa Kubebwa na Waamuzi Viwanjani

    Maulid Kitenge labda nikusaidie leo hakuna ambacho kinafanyika kwa Simba SC hakijawahi au hakifanyiki kwa Yanga SC sema tu kwakuwa una Umasikini wa Fikra (Upeo) hili huwezi Kulijua. Haya Maulid Kitenge kwakuwa leo hapo Sports Headquarters ya EFM ukiwa kama Boss Wao (Sports Department) umekuja...
  8. GENTAMYCINE

    Kila mwana Simba SC ninayemwomba anipangie kikosi cha leo ananipangia hiki je, kitatuokoa na aibu leo Dodoma?

    1. Aishi Manula (Nisiyempenda ) 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Mohammed Outarra (Nisiyemwamini) 6. Ishmael Sawadogo (aliyekosa Timu tokea February mwaka Jana 2022) 7. Kibu Denis (Nisiyemuelewa kabisa) 8. Nassoro Kapama (sijui hata nani alimsajili Simba SC) 9...
  9. GENTAMYCINE

    Wale mlionidhihaki na kunibishia niliposema hapa JF kuwa Manzoki haji Simba SC mbona hamnipigii 'Salute' yangu?

    Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji Ceaser Lobi Manzoki haji ng'o Simba SC na kwamba Uongozi wa Simba SC unawafanyeni Mazuzu na...
  10. GENTAMYCINE

    Karma ndiyo inamtesa Okrah Simba SC na itamtesa mno hadi akamwombe Radhi Mzungu Dejan kwao aliko

    Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka. Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
  11. GENTAMYCINE

    Nilipotabiri Ujio wa Kocha Olivieira Simba SC na ikatokea na Kushauri yafuatayo nilikuwa namaanisha

    Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu aliowakuta GENTAMYCINE nilimaanisha na kuna Hatari niliiona na leo imejidhihiri. Nawaombeni rejeeni marejeo...
  12. utopolo og

    Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

    Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au Manzoki wa Zanzibar ndio kinara wa mabao kwenye ligi ngumu huko visiwani Zanzibar na inasemekana...
  13. D

    Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

    Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
  14. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  15. Kipenzi Changu

    Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

  16. H

    FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

    Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
  17. GENTAMYCINE

    Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  18. Mcanada

    Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  19. Kipenzi Changu

    Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  20. GENTAMYCINE

    Simba SC kama mnamleta Kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera nashauri yafuatayo na myazingatie kiumakini

    1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta. 2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola. 3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe. 4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko. 5...
Back
Top Bottom