Kuna tetesi ya Bruno Gomez kuondoka Singida Fountain Gate. Naomba timu yangu kubwa Simba sports club tumuwahi mchezaji huyu na bonge moja la kiungo.
Simba kwa siku za hivi karibuni tunakosa kiungo mshapu wa kupandisha timu kwa haraka inapoenda kushambulia, hivyo nafasi ya Gomes ni ya muhimu sana...