simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Baada ya kudaiwa fidia ya bilioni 10, Msanii maarufu Baba Levo awaangukia Yanga kumsamehe Ahmed Ally

    Baada ya sakata la msemaji ya club ya Msimbazi, Ahmed Ally kutoa kauli zenye lengo ovu la kuichafua image na taasisi nzima ya Yanga, Msanii maarufu na mtangazaji, Baba Levo amewasihi viongozi wa Yanga kukaa na kumaliza tofauti yao na kumsamehe msemaji huyo, kwani bado ni kijana anayejifunza na...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Klabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10 Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇 “Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wito wa Waziri Mwana FA kuhusu kuiombea Yanga, BIG NO! Labda kuiombea mabaya

    Namsikia hapa akitoa wito wa kuweka tofauti zetu pembeni na kuombeana kimataifa. Kwamba mimi Simba Sc niiombee Yanga itoboe. Hiyo kwangu haiwezi kutokea, nikitaka kuiombea labda niiombee mabaya. Lolote baya liwakute huko mnakoenda. Ikiwapendeza mkung'utwe mpaka mchanganyikiwe. Mkishenyetwa...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utani wa Jadi: Mtandao wa YAS-Yanga Atafungwa Sana

    Watani wangu ni kama wamekosa mtu wa kumlaumu. Sasa mimi nawasaidia, mbaya wenu ni huu Mtandao wa YAS. Hili jina limewalenga nyinyi. Mnakumbuka mmeshapigwa mara 3 mfululu? Kuna vipigo vingine mvitarajie vya hivi karibuni. Siku chache zijazo mtaenda AC Algers kisha TP Mazembe. Unafikiri hao...
  5. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

    Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa wamama)[emoji32][emoji32] Binafsi nilitegemea mnyama kumkandamiza bravos goli hata 10. Kama Yanga ambavyo angefanya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba kwanini wasimchukue Morrison?

    Kuna wakati huwa najiuliza huyu mwanga anayeroga akili za viongozi,mashabiki na wachezaji ni nani hasa? Mbona mi naona Morrison bado anahitajika sana hasa kwa Simba hii? Samahani kwa wenye chuki ila binafsi siangalii rangi ya paka ila tu kama ana uwezo wa kukamata panya. Club ya Simba sio...
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa Yanga kunaifanya Msimbazi kuonekane kumenyooka, Ila kiuhalisia hamna timu pale

    Huwa siangalii sana michezo ya timu za shirikisho, Ila baada ya kuwa nimeketi sehemu nikipata kinywaji nikaona watu wakitazama mpira wa Simba hivyo kwakuwa nilikuwa nimeketi na TV ikiwa mbele yangu, Hivyo nikajikuta nalazimika kutazama. Baada ya kutazama mchezo huo nimegundua mambo machache...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Michuano hii kinachotakiwa ni point 3 muhimu lakini kocha wa Simba ajiangalie kwa mbinu zake nilishasema kuna kilio kinakuja asipobadilika!

    Mbinu za uyu kocha ni zile zile abadiliki nilikwishasema kwenye bandiko langu lililopita nilipomfatilia kwenye mechi 5 zilizopita za ligi,,anapokutana na kocha anayecheza kimbinu anapata tabu sana! Dk zote 90 ukiondoa goli la penalty ambalo na lenyewe lilisababishwa na makosa binafsi ya beki wa...
  9. uran

    JamiiForums Tanzania Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Acha leo niwaambie ukweli ndugu zangu wananchi, viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili

    Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ahmed Ally: Ukiamka asubuhi nenda kituoni piga kura kisha elekea uwanjani

    Semaji la CAF, Ahmed Ally amewataka mashabiki wa Simba kupiga kura kabla ya kwenda uwanjani kushuhudia mechi kali ya hatua ya makundi dhidi ya F.C. Bravos do Maquis hapo kesho tarehe 27 Novemba ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanainafikia sana Simba kusema inacheza na kibonde Bravoz

    Kama kuna wakati wa kuwaogopa hawa wachambuzi ni wakati kama huu. Kila mchambuzi ukimsikia anasema hii timu ndiyo kibonde na kwa hiyo Simba inatakiwa kujipigia goli nyingi. Kuna mashabiki wengine wa Simba wapumbavu wameshaanza kusema eti tutawafunga goli saba! Wanasahau kwamba hii ni soka na...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Salim Abdallah, soma alama za nyakati, hautakiwi tena hapo Simba

    Huyu jamaa Salim Abdallah, (sipendi na sijawahi kumuita jina lake la utani) sijawahi kumuelewa toka nimeanza kufuatilia nyendo zake pale Simba. Juzi baada ya sakata la kule Mwanza, inasemekana alitaka kuwachomesha Simba wenzake ili ndiyo waonekane wakosefu. Tunaojua mambo ya ndani ya Simba...
  14. Labani og

    JamiiForums Tanzania Simba kufungwa Novemba 27,2024. Yajayo yanatisha

    Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha. Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga wanavyodharau kombe la shirikisho, ile fainali ilikuwa ya Kombe Gani?

    Kwanza watu dhaifu ndiyo hudhani udhaifu ni uanauke. Inachukiza mtu anaposema mashindano ya shirikisho Afrika hushiriki timu za "wamama" akiashiria ni mashindano ya ngazi ya chini kuliko mengine. Inakera zaidi mtu anaposema mashindano ya shirikisho ni ya "losers" wakati Yanga iliwahi kushiriki...
  16. Dabil

    JamiiForums Tanzania Simba mnatuleteaje CEO ambaye ni shabiki wa Yanga?

    Simba ijitathmini tena kuhusu huyu CEO mpya,haiwezekani shabiki wa Yanga aje kuwa CEO wa Simba,hatutaki mamluki kama alivyokuwa Manara,mbinu za kivita zinazojadiliwa Simba yeye anapeleka upande wa pili. Huyu CEO aondolewe mapema kwa maslahi mapana ya timu. Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

    Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga. Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua? Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni. Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote. My Take Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Simba inakuzwa sana. Bado haijaiva

    Karibu mechi zote za Simba walizocheza mikoani wamepata matokeo kwa tabu sana na kumetokea sintofahamu za dhulma au makosa ya marefa yaliyowanufaisha. Kama ilivyo kwa Yanga ya msimu huu, hata Simba bado haijaiva vizuri tofauti na maneno na majigambo yaliyopo. Ukikumbuka kilichotokea Dodoma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali waamuzi wa Tanzania ni janga la taifa lile goli walilofunga pamba lilikuwa na tatizo gani?

    Pamba kafunga goli safi kabisa lakini cha ajabu mwamuzi kakataa goli akadai kipa kaguswa na mchezaji wa Pamba wakati kipa na beki wake waligongana wao wenyewe! Mi nadhani kwa sasa waamuzi wa Tanzania sio kwamba awajui Sheria bali njaa zinawasumbua njaa ni mbaya sana kwa waamuzi wetu awa...
Back
Top Bottom