simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Dah,hii mechi Pamba na Simba kelele ni nyingi

    Hii mechi ya simba na pamba imechukua sura mpya ya kelele nyingi mno,haijulikani ukweli ni upi.. Naomba amani na mpira uchezwe tu
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kuichafua na kupanda mbegu ya chuki kwa mashabiki wa Simba dhidi ya Serikali

    Hapo vip! Unajua kujitoa ufahamu kwa kiongozi au uongozi yeyote kwa kuichukia Simba na kufanya vitendo vya chuki na vyakibaguzi ni kuichonganisha na kupanda mbegu za chuki baina ya uongozi wa awamu husika na mashabiki wa Simba ambao ni zaidi ya millioni 40. Niwambie viongozi wanapo iyona...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ukweli kukamatwa kwa Matola, Vurugu walizofanyiwa Simba SC, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda atajwa kwenye sakata hilo

    PIA SOMA - Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Mwanza, Mtanda alivyosema Yanga Oyee! Akiwahakikishia wadau Ushindi kwa Pamba Jiji dhidi ya Simba SC mechi yao ya Ligi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi ni lazima wa Klabu hiyo ya Rock City, katika Uwanja wa Ccm Kirumba. Amesema hayo akiwa Kwimba...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

    Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho' ======== Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC, kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mwanza hajavamia mazoezi ya Simba ni uzushi

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na kocha msaidizi, Taarifa hizi si sahihi Ukweli ni kuwa mkuu wa mkoa alipokea simu kutoka kwa maafisa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

    Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC. Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea. Soma Pia: Ahmed Ally awahofia...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

    Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki. Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

    Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea. Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"

    "Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

    Simba SC imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, uzinduzi uliofanyika Sandaland Tower, Kinondoni, Dar es Salaam. Jezi hizo zitaanza kutumika katika mechi dhidi ya FC Bravo ya Angola, katika mchezo wa tarehe 27 Novemba 2024, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin...
  15. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

    Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Elie Mpanzu aongeza mzuka, acheza mechi ya kirafiki Simba SC dhidi ya KMC, vitu vyake vyawavutia wengi

    Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal. Fadlu kabla ya mechi dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 aliomba michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC FC na Azam FC...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

    Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  19. Chibike

    JamiiForums Tanzania Fikiria kungetokea nini kama vilabu vya Simba na Yanga vingeshiriki michuano ya CLUB WORLD CUP

    Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA. Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32. Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC

    Wakuu Mmesikia huko? Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameahidi kitita cha shilingi milioni 50 kwa timu ya Tabora United iwapo itaibuka na ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wao ujao. Chacha alitoa ahadi hiyo leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, Kitete, wakati wa zoezi la...
Back
Top Bottom