simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa Simba: Joshua Mutale aondolewa kwenye mechi za Kufuzu AFCON 2025 baada ya kuumia

    Nyota wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale, hatoshiriki kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON 2025 ambazo Zambia itacheza kwenye tarehe za FIFA, Novemba 15 na 19. Mutale, aliumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC na alijumuishwa kwenye kikosi cha Chipolopolo, lakini taarifa zinathibitisha...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wydad ingeiachia Simba fursa ya kucheza Club World Cup

    Ukiangalia mwenendo wa Wydad unaona kabisa no timu ambayo itachukua muda mrefu sana kukaa sawa. Club World Cup ni mwakani na Wydad ndiyo kwanza imefungiwa kufanya usajili kwa hiyo zoezi la kuboresha timu linazidi kuwa gumu. Si muda mrefu watatimua kocha wao. Naona kabisa huko World Cup...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kamwe usiruhusu Mtoto wako awe Mshabiki wa Simba na Yanga. Atakuwa fala

    Mashabiki wa hizi team... Wanakuwa hawana akili. Asilimia 80 plus. Usibishe.niamini mimi. Msikilize anachoongea Ali Kamwe na anachofanya akiwa ameambatana na mashabiki hao hao. Ni hovyo kabisa. Hamna akili. Kauli anazotoa Ali Kamwe kwa sasa au anachoandika kinaonesha alipata udumavu wq akili au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

    Ninajiuliza inakiaje waende Azam na baada ya kukimbia Azam wamekwenda KMC. Mbona uwanja wa Uhuru shamba la bibi upo vema tu. Au umefungiwa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex

    Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hamuutaki sasa Uwanja wa Azam Complex baada ya kuchezea Vipigo viwili mfulilizo, kwani Azam na Simba waliwalazimisha Kuutumia?

    Na msivyo na Akili pengine ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha Mkuu wenu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) alisema (ipo YouTube) kuwa mna Akili kama za Nyani, Mbwa na Sokwe leo mmesahau kuwa ni nyie nyie mlikuwa mnatamba kuwa Uwanja wa Azam Complex una Bahati sana Kwenu na mtautumia kwa Mechi zenu zote...
  7. Dabil

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

    Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex. Hii ni tuhuma nzito...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sisi kama SIMBA SC, kwa umoja wetu tumekubaliana kwamba TABORA UNITED ndio wakubwa wenzetu kwenye NBC premier league.

    Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
  9. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Simba wawe makini sana dhidi ya KMC

    -Simba vs Kmc Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza. Msimu uliopita Simba ililazimika kutoka nyuma na kusawazisha dakika za jioni baada ya kuruhusu mabao mawili kwa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Straika wa zamani wa Simba, Ali Ahmed Ali “Shiboli” afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi

    Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli) Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar. Mshtakiwa amekata shtaka lake. Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi mnatengeneza mazingira Simba kuchukua ubingwa, Kwanini mechi iahirishwe na wengine wafululize michezo licha ya ugumu wa ratiba?

    Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

    Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba shughulikieni tatizo la Ateba, ameshapigwa misumari tayari

    Ateba niliyemuona leo sio yule ambaye tunamjua, wamemwekea misumari miguuni, Viongozi wangu wa Simba lifanyieni kazi hili jambo, sio kawaida kwa Ateba kutoka kapa uwanjani mechi ya nne hii.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha?

    Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha? Pia soma - Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

    Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Samahani mlio jirani na Ahmed Ali muulizeni imekuwaje alisema Simba SC haitoshuka Kileleni na sasa iko nafasi ya Huruma ya Tatu katika Msimamo?

    Yaani kama kuna Mtu ambaye namuona ni Nuksi ndani ya Simba SC yetu na Anatuponza mno Kimatokeo kutokana na Kauli zake na Uyanga wake aliojifichia kwa kusema kuwa Yeye tokea zamani ni mwana Simba SC basi ni huyu Msemaji wa Simba SC Ahmed Ali.
  20. magnifico

    JamiiForums Tanzania Simba Wasipojitathimini Kuna Uwezekano Yanga Akachukua Ubingwa Mara Saba Mfululizo Kama Juventus

    Ndugu zetu Simba msimu huu wamekuja na kauli mbiu hizi, Yanga anabebwa, Yanga ananunua mechi, GSM anatuharibia ligi na kuna muda wakipagawa zaidi utawasikia wanasema Yanga imeshuka kiwango. Maoni yangu, mafanikio ya Yanga yanaanzia kwenye uongozi. Sitaki kumuingiza GSM japo nae anaplay part...
Back
Top Bottom