simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba kwenye uumbwaji

    Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi siku ya kwanza. Mo akamleta Camara akasaidiane na Manula, Salim na Abel. Mo akamwambia Camara, kwa...
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Simba wamemfunga mwarabu toleo la mwisho

    Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao ..... Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu
  3. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba ikishinda ugenini dhidi ya waarabu CS Sfaxien

    1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76. 2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli. 3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda mlango wake Mousa Camara, hili eneo litaifikisha mbali Simba. 4. Kuna namna lionel ateba anaanza...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Leo ni gusa anguka, tupate penati, tutegemee lolote

    I salute you, kinsmen, kwa jina la “Gusa Achia Twende Kwao. Baada ya jana wanaume kufanya kazi ya kiume na kuheshimisha nchi kwa pira “Gusa Achia Twende Kwao,” sasa leo tutashuhudia wale wavuta bange wa Kariakoo wakikatika mauno huko Uarabuni. Tegemea yafuatayo: 1. Gusa, anguka, tupate...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

    Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani "Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Sababu ya timu ya Yanga kutumia kauli mbiu ya "Daima mbele nyuma mwiko"na timu ya Simba kutumia kauli mbiu ya "Nguvu moja"

    Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971. Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  8. I

    JamiiForums Tanzania Leo Ndo Mtajua maana ya Ubaya Ubwela

    Kwema? Leo Dakika chache Mtajua kauli ya Ubaya Ubwela inakwenda kudhihirika huko Singida Pale Wananchi watakapo toka Uwanjani Wakisonya na kutukana na Kuongea peke yao Baada ya matokeo wasiyoyatalajia Ni hayo kwa sasa Kutoka Hapa Liti Singidani. Baadae jamaani!
  9. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  11. Labani og

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Dodoma Jiji amefungwa magoli ya uongo na Yanga

    Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116] "Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Magori wa Simba Sc kijijini kwao Rorya: Wanangu tutafute hela

    Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
  13. Shanily

    JamiiForums Tanzania Simba ndo giant wa Tanzania kwenye Mashindano ya CAF, msijisahaulishe

    Kipindi timu zetu zikihangaika katika Mashindano ya CAF , kila mara zilikuwa zikitolewa hatua za awali, ni Simba ndo alofufua matumaini ya vilabu vyetu kushiriki makundi na kufanikiwa kutinga robo fainali CAFCL alipoitungua AS vita 2 - 1 Benjamin mkapa. _ Ni Simba ndo ilokusanya point nyingi na...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba hawezi kuwa bingwa msimu huu 2024/2025

    Sitaongelea kuhusu kubebwa na kushinda kimipango, hilo lipo wazi kila mwenye utima analiona wazi 1. Simba inakuzwa tu, ila wachezaji ni averaged players. Yaani wana hadhi ya kucheza Pamba Jiji au Ken Gold 2. Wachezaji wanakata moto Fitness ya wachezaji wa Simba ipoc chini mno, yaani nawaza tu...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  16. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha YANGA kinaficha udhaifu wa SIMBA SC

    Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka mtu ashike roho hadi mpira umalizike ndio aiachie. Ukiondoa mechi za ligi kuu. Kwa kundi la CC...
  17. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

    Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united. Niseme ukweli bila kupepesa Simba...
  18. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mtanange mkali sana leo. 21/12/2024. MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA. Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera. Mwenyeji : Kagera Sugar FC Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam Muda : 10 jioni. KIKOSI. KIKOSI CHA SIMBA
  19. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Simba SC ikiibuka na ushindi dhidi ya Kengold

    1. Simba imecheza vizuri mno/kikubwa kipindi cha kwanza. Kongole kwa Awesu Awesu, Muzamiru yassin, Fabrice Ngoma, Kelvin Kijili na Ladark Chasambi. 2. Sub ya Okejepha, Ahoua na Mutale imeharibu mpira wa Simba kipindi cha pili. 3. Jean Charles Ahoua haitendei haki nafasi anayocheza, simba...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Singida Big Stars yapangiwa tarehe, huku na Tabora United kupangiwa siku

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi. Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
Back
Top Bottom