simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Injinia Hersi ulishaharibu tangu mwanzo na sasa hatuna namna zaidi ya kuipongeza Simba kwa ubingwa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli kwa sisi tulioona mbali tangu muda tulipinga sana kufukuzwa kwa Gamondi. Mkatuona mazuzu kwamba tunamkubali sana noo. Sisi ni yanga sio Gamondi wala Hersi. Tatizo lilianzia pale alipofukuzwa yule mzee na team ikiwa imeshaclick kabisa kisa kupoteza game chache...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic, yamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro. Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC inamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa. My take YANGA SC...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

    I salute you kinsmen Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana Nadhani msimu huu TFF wameamua wazi kwamba simba wachukue kombe watake wasitake..! Kama umefuatilia hii ni mechi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi za Simba

    Wanajukwaa Kwema! Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo. Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya...
  5. Disney2

    JamiiForums Tanzania Tabora United Ikiifunga Simba SC Nifungiwe JF mwaka mzima

    Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto. 1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana 2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora. Mods shikiria hapo hapo.
  6. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Sioni Simba akishinda leo, Tabora United wanaitaka Tsh. Million 100

    Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024. Sioni Simba akishinda leo.
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

    Ubaya Ubwela. Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi? Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
  8. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wabunge Mashabiki wa Simba, Yanga kuumana azania bank Bunge bonanza

    Benki ya Azania bank plc kwa mara nyingine imedhamini Bonanza la Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania litakalowakutanisha wabunge mashabiki wa timu za Simba na Yanga litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya shule ya John Merlini, Dodoma. Soma: Siasa kuingia kwenye michezo na...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Tabora United atachukua alama zote 3 dhidi ya Simba

    Mtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi. Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC Yapi maoni yako?
  11. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania CAF wanaipendelea Simba? Hii tena imenishangaza. Ina maana hawaoni juhudi zetu hawa watu?

    Simba wameongezewa muda na CAF. Sisi Yanga hatupendwi kila sehemu. Huu ni uonevu. Hata sisi tupo Shirikisho na tumeingia robo fainali tunastahili kuongezewa muda. Waache uhuni hawa CAF.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba huyu dogo Kassim Rajani kama ni Mtanzania basi mpeni usajili bila majaribio, boli linatembea sana kwake huyu dogo

    Nimemwangalia huyu dogo kwenye youtube, huyu anajua boli kuliko Mashaka Valentino, anajua boli kumshinda Mukwala, anajua boli kumshinda Prince Dube, hata yule Seleman Mwalimu wa Fountain Gate hamfikii, dogo ana kasi, ana chenga za maudhi, ana control, nimeona clip zake, kama kweli ni mtanzania...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | CRDB Bank Federation Cup | 1.26.2025

    Match Day Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup. Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji wao kwa kutinga robo fainali ya CAF CC. Hiki hapa kikosi cha Simba SC Kikosi cha Kilimanjaro...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga mmepoteza fursa adimu ya kuipiku Simba kwenye ranking za CAF

    Leo tunaambiana ukweli. Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua. Mnacheza nyumbani, mnashindwaje kupata goli 1 tu la kuwavusha? Embu acheni utani. Unashindwaje kupata...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga ikishinda goli 5 mtani huwa anaumia kwanini?

    Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5 Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5 Mechi ijayo tutawafunga 10
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania Simba yatuma rasmi ombi kwa Idara ya Uhamiaji kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni

    Baada ya wachezaji wanne wa Klabu ya Singida Black Stars kupatiwa uraia wa Tanzania, Klabu ya Simba nayo imetuma maombi rasmi ya kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni ili wapatiwe uraia wa Tanzania. Klabu ya Simba imedai wachezaji hao wana manufaa kwa nchi hii kwani bado ni vijana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Simba, mjiandae kwa hujuma michuano ya shirikiaho africa robo fainali na kuendelea

    Wapinzani wa Simba wamekua wakiumia sana Kwa mafanikio yenu katika michuano ya Kimataifa. Wameumia sana kutolewa hatua ya makundi. Wameumia sana Kwa Simba kufuzu kuingia robo fainali. Wapo kati Yao wanaomini kua Simba ndio waliohujumu ili wao wasifuzu. Wanaona wivu kua huenda Simba ikaingia...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nani anamlipa Eddo Kumwembe kubwabwaja dhidi ya Simba Sc?

    Vitu vya kuchambua vipo vingi, kama umeshindwa kuchambua soka nenda kachambue mchele
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said jifunze Ustaarabu na una mengi ya Kujifunza kutoka kwa Viongozi wa Simba SC

    Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na kuonyesha Jeuri hukutaka Kuzungumza na ukaingia haraka Garini na Kundoka. Sijawahi kumuona Kiongozi yoyote...
  20. Labani og

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Yanga yaicha mbali Simba takwimu za kimataifa 2024

    Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024. Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15. Orodha hiyo Klabu kutoka...
Back
Top Bottom