simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  2. Mhaya

    Derby ya Simba na Yanga yakosa ufuatiliwaji mitandaoni kisa Vita ya IRAN

    Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
  3. Waufukweni

    Klabu ya Simba huwenda ikasusia mechi ya Dabi, waiandikia barua Bodi ya Ligi kisa mechi kupelekwa Zanzibar

    Wakuu Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye. = Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
  4. Hance Mtanashati

    Kwa sasa kila kitu ni Zanzibar tu, hata mechi kubwa za Simba na Yanga zinapelekwa Zanzibar

    Kila chenye manufaa kwa sasa ni Zanzibar tu. Big matches za Simba, Yanga na Azam zinapelekwa Zanzibar, hii inawanufaisha zaidi wazanzibar, kwanza wanajitangaza pia wanaingiza pesa kwa wale watu wanaokuja kuangalia mpira, maana watakula, watakodi vyumba vya kulala, viingilio na matumizi...
  5. funaku

    Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  6. Pdidy

    SIMBA NA YANGA TURUDI TUMALIZIE RATIBA WAPENDWA ALL D BEST

    AHSANTEN KWA KUTUNYOOSHA MMEJUA KUTUNYONGOROSHAAA AZAAAWAISIII. TURUDN TUJE KUKAMILISHA RATIBAAAAA ALWAYS NXTYM NEVER GV UP
  7. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  8. Hance Mtanashati

    Mechi ya mashabiki wa Simba na Yanga lengo kuu kuwarudisha wasanii kwa wananchi

    Nasikitika sana na nazidi kusikitika. Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania ni wapumbavu kwa kiasi kikubwa sana. Niliingia kwenye instatrack kuchungulia engagement rates...
  9. Trayvess Daniel

    Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
  10. BIG BROTHER ALEX

    Zanzibar natokaje nawauliza mi natokaje, walimwengu natokaje

    SEHEMU YA KWANZA 1 Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty. Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
  11. Alex khalifa

    Watanganyika maelfu wamekufa Simba na Yanga hawajatoa pole, eeh Mungu tukumbushe sisi niwapitaji tu hakuna mfalme wa milele isipo kua wewe baba

    Baba Kibu Denis kafariki wakatoa pole, kuchangusha watoto wao wakiwa wagonjwa wanaanda mechi za hisani ila watanganyika walio kufa kimya kimetawala, eti tujaze viwanja shut up wanao jaza viwanja wamo makaburini wamerundikwa ka mizoga, Kuna watu wanaamini dunia ni yao time will tell. Here we go...
  12. S

    Asante sana watanzania kwa kususia mechi za Simba na Yanga

    Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul. Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda kuangalia mechi ni wachache sana. Leo hii kwa Mkapa hata nusu haijafika japo Kuna mechi kubwa kati ya...
  13. Kitimoto

    Mashabiki wa Mpira Tugomee Kuhudhuria Mechi za Simba na Yanga kwa Kushindwa Kutoa Pole kwa Wafiwa Kutokana na Maandamano ya Oktoba 2025 ya Kudai Haki

    Katika tukio ambalo limegusa mioyo ya wengi, mashabiki wa soka nchini Tanzania tujipamge kuonyesha mshikamano na majonzi kwa wale waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki yaliyofanyika kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 ambapo familia nyingi zimepoteza wapendwa wao katika mfululizo wa...
  14. Munch wa Annabelle

    Ukitaka kujua watanzania wengi hawana akili tumia Simba na Yanga tu utapata majibu

    Unakuta mtu ni shabiki wa mpira lakini huo mpira wenyewe anaoshabikia haujui. Timu yake ya ulaya inafungwa hadi goli nne tano wengne had sita lkn anasema huo ndo mpira Lakn ikitoa sare tu timu yake ya uku matopen utasikia kocha mbovu afukuzwe halafu huyo huyo mudq wote anamsifia arteta Timu...
  15. M

    Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  16. Waufukweni

    Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa, Yanga na Simba kutafuta viwanja vingine kwa mechi za Ligi na CAF

    Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen ni kuwa Simba na Yanga watalazimika kutafuta viwanja vingine kwasababu dimba la Benjamin Mkapa litaendelea na matengenezo makubwa mwezi huu hivyo kupisha mchakato huo matumizi ya uwanja huo yatafungwa kwa muda. Uwanja wa Mkapa umefungwa kwa kipindi cha miezi...
  17. R

    GE2025 Salum Mwalimu: Mpambano wa CCM na CHAUMMA ni Mustakabali wa Maisha yetu siyo Mchezo wa Simba na Yanga

    Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Nyankumbu, mkoani Geita, Septemba 16, 2025 alisema Mpambano uliopo kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) uchaguzi wa mwaka huu...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia: Leo nimepata nafasi, naitazama mechi ya Simba na Yanga

    Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa. Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama
  19. DELETED ACCOUNT

    Kwa nini Simba na Yanga zisianzishe Foundations zao wenyewe badala ya kutegemea Mo na GSM Foundation?

    Kwa muda mrefu, vilabu vya Simba na Yanga vimefungamana na Mo Foundation na GSM Foundation katika shughuli za kutoa misaada kwa jamii. Sina uhakika kama kuna mtu amekaa akawaza ni kwa nini hivi vilabu vimeunganana na taasisi hizi badala ya kuanzisha taasisi zao za kutoa kwa jamii. Hivi vilabu...
  20. 888I

    Kwanini kulinganisha jezi ya Simba na Yanga?

    Vilabu vinazindua jezi nzuri.Swali ninalojiuliza ni kwanini vyomba vya habari mtandaoni, wanahabari mtandaoni na watu wengine mtandaoni wanalinganisha jezi za timu mbili tofauti wakihoji Jezi Gani Kali ? 😳 Huwa na maana Gani ? Binafsi nafikiri Haina mantiki yoyote kwani Azam mashabiki wake...
Back
Top Bottom