silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Je huu ni mwanzo wa vita vya tatu vya dunia ? Matumizi ya silaha za nyuklia kuna siku zitatumika?

    Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN? Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita. Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia...
  2. I

    Nchi zinazouza zaidi silaha duniani

    Iliyoorodheshwa: Wauzaji Wakubwa wa silaha duniani. Biashara ya silaha duniani imejikita zaidi miongoni mwa nchi chache, huku Marekani ikiwa mbele sana kuliko wasambazaji wengine wote. Kuanzia mwaka wa 2021 na 2025, Marekani ilichangia 42% ya mauzo ya silaha duniani, zaidi ya mara nne ya mgao...
  3. Chizi Maarifa

    Israel na Marekani wameishiwa Silaha kabisa. Sasa ni kipindi cha pili watajuta

    Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina. Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote .hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
  4. B

    Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  5. Mindyou

    Donald Trump: Jeshi la Iran shusheni silaha zenu chini na tutawapa kinga vinginevyo mtakutana na kifo

    Wakuu Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah "To the members of the Islamic Revolutionary Guard, the armed forces and all of the police. I say tonight that you must lay down your...
  6. M

    Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

    Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa. Ni hivi, nimesoma...
  7. Echolima1

    Al-Jazeera yadai Israel inatumika silaha ya kuyeyusha miili ya Magaidi huko Gaza!!

    Kulingana na uchunguzi wa Al Jazeera, mashambulizi ya mabomu ya Israeli huko Gaza yamesababisha miili ya Wapalestina 2,842 kutoweka kwa kuyeyuka na kuacha mabaki ya damu na mifupa pekee. Ripoti hiyo inahusisha hili na matumizi ya silaha za thermobaric zinazotolewa na Marekani, ambazo zina uwezo...
  8. R

    IGP Camillus Wambura: Udhibiti na usiamaizi wa silaha ni jukumu la kila mtanzania, sote tunawajibika kuilinda nchi yetu

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
  9. ELI COHEN

    Ebu tazama huu ulinganishi wa silaha na budget ya kivita kati ya US na IRAN alafu kuna mtu anaandika humu kuwa US amekimbia baada ya kutishwa na Iran

    ✈️ Total Military Aircraft: 🇮🇷 Iran ⟶ 600+ 🇺🇸 USA ⟶ 13,000+ 🚁 Attack Helicopters: 🇮🇷 Iran ⟶ 150+ 🇺🇸 USA ⟶ 5,400+ 💥 Missiles: 🇮🇷 Iran ⟶ 3,000+ (short & medium range) 🇺🇸 USA ⟶ 10,000+ (ICBM, cruise, precision) 🛩️ UAV / Drones: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸 USA ⟶ 11,000+ 🛡️ Tanks: 🇮🇷 Iran ⟶ 2,000+ 🇺🇸...
  10. Uhuru24

    Ili utunishiane misuli na marekani lazima uwe nawewe unatengeneza silaha

    Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua. Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
  11. M

    Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  12. Smartkahn

    Watu wenye silaha nzito watauawa kwa kudunguliwa

    Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa. Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au...
  13. Allen Kilewella

    Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
  14. Twilumba

    Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
  15. DuaZaMama

    Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  16. Dr Adam Francis

    Uholela wa NGONO, POMBE NA MUZIKI: Ndilo janga kubwa zaidi la kizazi chetu"

    Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo wa Ian Durry wa mwaka 1977. "Sex, drugs, rock and roll" haukuwa wimbo au usemi tu wa wakati huo...
  17. Juuchini

    Rais Colombia aapa kubeba silaha tena

    Rais wa Colombia Gustavo Petro ameapa kuitetea nchi yake dhidi ya kile alichokiita vitisho kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump. Kupitia mtandao wa kijamii, Petro, ambae aliwahi kuwa mpiganaji wa msitumi, ameionya Marekani dhidi ya hatua yoyote ya ukiukaji kwa Colombia, inayofanana na ile...
  18. I

    Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  19. Genius Man

    Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  20. Yoyo Zhou

    Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
Back
Top Bottom