siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Ustawi wa soko katika siku za mapumziko wathibitisha ufufukaji wa Uchumi wa China

    Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
  2. Janeth Rithe: Siku ya Mtoto wa Kike, Ukatili kwa Wasichana ni Kikwazo

    Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
  3. Baada ya Kugundua Udhaifu wetu ipo Siku Wazungu, Waeshia na Waarabu watatuzawadia Digrii za Heshima za 'Ujuha Uliotukuka' Waafrika

    Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE...
  4. Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
  5. Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado. Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa. Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri...
  6. Nini kimemkuta Haaland katika siku za karibuni?

    Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI” Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini katika mechi nne zilizopita za mashindano yote hajafunga hata goli moja. Au ndio kusema anamkosa KDB...
  7. Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika. Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani? Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana. Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran. Naomba kujua...
  8. Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  9. F

    Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

    Habari wadau. Video inajieleza vizuri
  10. Umeshawahi kumuamini fundi yeyote yule ukamlipa pesa ya kazi? Siku ya kupokea kazi isiendane na pesa ulomlipa?

    Ndo hivo yaani mtu nimempa lakitatu anifanyie kazi, siku ya kuleta kazi haiendani hata kidogo na pesa ni liyompa Na sitaki kuzozana na mtu, dunia tunapita tu.
  11. T

    Oktoba 6 ni siku ya Mtindio wa Ubongo duniani

    Kila ifikapo Oktoba 6 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mtindio wa Ubongo/ cerebral palsy, ambapo kwa Mara ya Kwanza siku hii iliadhimishwa mwaka 2012. Madhumuni ya siku hii ni kuielimisha jamii kuhusu tatizo hili pia kuhamasisha uwepo wa mazingira jumuishi na wezeshi kwa watu walioathiriwa...
  12. Hivi kwanini kitambulisho cha Mpiga Kura kinapatikana kwa siku moja lakini kitambulisho cha taifa kinapatikana baada ya miaka miwili?

    Ndugu wana JF hili ni swali nililojiuliza sana kwa muda mrefu. Kwa tathimini kwamba zaidi ya asilimia 60 taarifa za wananchi zanapatikana mtandaoni kwa kuwa siku za saivi asilimia kubwa ya watu wamesoma na kama wamesoma na kuhitimu unamaanisha taarifa zao zote zinapatikana kwenye mfumo wa...
  13. Oktoba 5, Siku ya Walimu Duniani, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

    Siku hii huadhimishwa Oktoba 5 kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Pendekezo la ILO/UNESCO mwaka 1966 kuhusu Hadhi ya Walimu lililoweka viwango kuhusu Haki na Wajibu wa Walimu. Pendekezo hilo huangazia viwango vya maandalizi yao ya awali, Elimu ya ziada, Ajira pamoja na Masharti ya...
  14. FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  15. A

    DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  16. Obama na Michele watimiza miaka 30 kwenye game, hamna hata siku moja Michelle aliomba hela eti gesi imeisha.

    Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya kusuka nk.
  17. Mungu alifanya kazi kwa siku 6 kisha ya saba akapumzika. Tuliwezaje kuijua kama ni Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?

    Wakuu nina swali kidogo hapa.Inasemekana Mungu alifanya kazi Kwa siku 6 kisha ya 7 akapumzika.Sasa sisi waumini wa madhehebu mbalimbali tuliwezaje kuijua kama ni IJUMAA, JUMAMOSI au JUMAPILI?
  18. W

    KWELI Mende anaweza kuishi kwa siku kadhaa akiwa amekatwa kichwa chake

    Mende ni maarufu kwa ukakamavu wao, na mara nyingi hutajwa kuwa ndio walionusurika zaidi katika vita vya nyuklia. Wengine hata wanadai kwamba wanaweza kuishi bila vichwa vyao. Suala la mende kuendelea kushi hata baada ya kukatwa kichwa lipoje?
  19. Watu 604 wapimwa Moyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani

    Watu 604 Wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni jijini Dar...
  20. T

    2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

    Habari wakuu. Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…