siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  2. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  3. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  4. R

    Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  5. KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

    Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi? Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
  6. Mwana Simba, ipo siku Yanga atapata mafanikio yako, moto utawaka

    Natumaini wote ni wazima wa afya, ila kama mwenye matatizo kiafya basi Mwenyezi Mungu(Allah) au kwa imani yako ikusaidie upone. Basi, kuelekea kwenye Uzinduzi wa michuano mikubwa zaidi ya Vilabu barani Africa (AFL) kumekuwa na hisia tofauti tofauti katika mechi hiyo ya Uzinduzi ambayo...
  7. This is a True defination of Good Music, I Miss Those Days!

    Woooooow!,I miss those days! 1.Bozi boziana - Mwana Mawa 2.Pepe Kalle - Gerant 3.Lucien Bokilo - Anne Missette 4.Lucien Bokilo - Djoukende 5.Madilu - Biya 6.Le General Defao - Madova 7.Le General Defao - Hotel Ondongo 8.Yondo Sister - Deviation 9.Yondo Sister - Mwana Kento 10.Soukous...
  8. Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
  9. Weka hapa msanii alieweza kupata umaarufu nchini akiwa bado yupo mkoani

    Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima. Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi zao mikoani lakini zikahit na kuwatambulisha nchini. Marlaw - Iringa Marlaw baada ya kumaliza...
  10. Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    "Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi...
  11. Uwe makini ujipende uwe na misimamo na malengo kuna siku rafiki uliemuamini atakukimbia akipata njia ya maisha

    Binadamu ni kiumbe mwenye hila, uongo, unafiki, ubinafsi, rafiki ulienza nae sie utakaemaliza nae kuna siku atakusaliti, kuna siku ataacha kuwa rafiki akipata njia nzuri ya maisha kukuzidi au kulingana na wewe na hutaamini, kuna mtu uko nae karibu unamuona rafiki kumbe ni adui yako na mshindani...
  12. Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  13. Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  14. Jiamini, ipo siku utafanikiwa

    Jiamini tu ipo siku utafanikiwa, muamini sana Mungu atafungua milango yako ya mafanikio maisha hayana formula maalumu japo ya concept za umbananaji ndani yake. Kuanza upya sio dhambi, dhambi ni kukata tamaa. #Mgaza
  15. L

    Ustawi wa soko katika siku za mapumziko wathibitisha ufufukaji wa Uchumi wa China

    Katika siku nane za mapumziko ya Siku ya Taifa la China, watu wameshuhudia ustawi wa soko, kwani mamilioni ya watu wamefanya utalii, na wateja walijaa kwenye maduka na mikahawa. Kuongezeka kwa shauku ya watumiaji kwa mara nyingine tena inaonyesha uthabiti mkubwa na uhai wa uchumi wa China, hivyo...
  16. Janeth Rithe: Siku ya Mtoto wa Kike, Ukatili kwa Wasichana ni Kikwazo

    Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
  17. Baada ya Kugundua Udhaifu wetu ipo Siku Wazungu, Waeshia na Waarabu watatuzawadia Digrii za Heshima za 'Ujuha Uliotukuka' Waafrika

    Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE...
  18. Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
  19. Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado. Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa. Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri...
  20. Nini kimemkuta Haaland katika siku za karibuni?

    Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI” Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini katika mechi nne zilizopita za mashindano yote hajafunga hata goli moja. Au ndio kusema anamkosa KDB...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…