siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

    MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure. ..... Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na...
  2. M

    Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Habari za mchana wakuu. Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli. Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
  3. Lugha ya picha: Ndoa za siku hizi

    Tegemezi nae anategemewa, ahudumiwe ili aweze kuhudumia. Chanzo ni nini?
  4. Tangazo: Fursa ya Safari ya China kwa Siku 15!

    Je, unatafuta uzoefu wa kipekee wa kusafiri kwenda China kwa siku 15 tu? Karibu katika safari ya kutembelea mazingira ya kuvutia na utamaduni wa kipekee wa China! Jiunge nasi kwenye safari yetu maalum ambapo utapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia nchini China kwa muda wa siku...
  5. Siku Ya Uelewa wa Usonji Duniani. Je, unawezaje Kumtambua Mtoto mwenye Usonji?

    Usonji ni changamoto ya Ukuaji ambayo hutokea pale ambapo Ubongo hufanya kazi kwa namna tofauti. Mtoto hupata changamoto hii anapokuwa tumboni na dalili huonekana kuanzia Umri wa Miaka Mitatu na kuendelea Watu wenye Usonji hupata changamoto hasa za Kuwasiliana Kijamii. Kasi ya kukua kiakili...
  6. Aprili 2: Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa

    Aprili 2 kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa ili kuongeza uelewa na umuhimu wa kuhakiki na kuthibitisha ukweli katika taarifa zetu za kila siku. Katika ulimwengu uliojaa taarifa za haraka na mara nyingi zenye utata, uhakiki unakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali...
  7. A

    KERO Karatu umeme unakatika zaidi ya mara tano (5) kwa siku

    Umeme katika line ya KARATU maeneo ya NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa mara kiasi cha wananchi kuwa na hofu ya kuunguliwa na vifaa vyetu vinavyotumia umeme. Manager wa...
  8. G

    Biden kapitisha Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, Trump amlaani na kumtaka awaombe msamaha wakristo.

    Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia, Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo...
  9. N

    Kwanini siku ya leo ya pasaka pombe hazileweshi

    Sio mimi peke yangu Bali wadau wote wamezilalamikia pombe za Leo kuanzia bia Mpaka konyagi tumekunywa lakini hatukufanikiwa kulewa Mpaka sasa hizi.
  10. Siku kama ya Leo rapa Nipsey Hussle alitutoka. Je, ni nyimbo gani kali unayoikubali kutoka kwake?

    Nip ametimiza miaka 5 leo, tangu alipofariki 💔 🕊️ pumzika kwa amani
  11. G

    Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  12. Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

    Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa. Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha. Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
  13. M

    Kwanini wakristo hatuli nyama siku ta ijumaa kuu?

    Habarini za asubuhi ndugu. Hivi kwanini wakristo hatuli nyama siku ya ijumaa kuu logic behind ni nini hasa? Mbona scriptures zina support kuhusu kula mwili wa Yesu, ni wapi kwenye Bible pameandikwa tusile nyama siku yA ijumaa kuu au Kula nyama siku ya ijumaa kuu ni dhambi?
  14. Machi 30: Siku ya Kimataifa ya 'Zero Waste'

    Kila Mwaka, Binadamu wanazalisha kati ya tani bilioni 2.1 na 2.3 za taka ngumu. Takriban Watu bilioni 2.7 hawapati Huduma ya ukusanyaji taka, ambapo bilioni 2 kati yao wanaishi maeneo ya Vijijini. Bila hatua za dharura, uzalishaji wa taka ngumu kila Mwaka utafikia tani bilioni 3.8 ifikapo...
  15. J

    Siku ya viwango na ubora barani Afrika

    SIKU YA VIWANGO NA UBORA BARANI AFRICA Dar es Salaam - Tanzania Tarehe 29/03/2024 Shirika la Viwango Tanzania TBS limeadhimisha Siku ya Viwango na Ubora Barani Africa kwa Nchini Tanzania Katika Makao Makuu ya shiriki hilo JIJI DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa TBS nchi Bwana Athumani Yusufu...
  16. Ukabila, ukanda, udini, ubinafsi na siasa vitaigawa Tanzania siku za usoni, tuvikemee

    Ukitazama Muundo wa Kupata kazi sehemu Nyingi za Serikali, kumekua na Ukabila, Ukanda, Udini, Ubinafsi na siasa, hivi vimetawala Sana katika akili za watu wengi, ninachokiona kupitia hivyo, siku zijazo vitatumika kuligawa hili Taifa. Mfano wazanzibar walioko katika Vyombo vya usalama na sekta...
  17. Leo siku ya 4 crane ya kunyanyua vyuma vya daraja la Baltimore USA liligongwa na meli haijafika kwenye tukio

    Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa na jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo. The cargo ship – about the length of three football fields – has as many as 4,000 tons of steel frame hanging on its bow since the ship plowed into the Key Bridge – sending a...
  18. N

    Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
  19. Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Salaam wandugu, Niliwahi kuandika jambo hili kuiomba serikali na kuishauri na leo narudia tena kwa nia ya kukujuza wewe usiyejua ujue kabisa utaratibu ulivyo. Mwishoni kama ada sitaacha kuishauri na kuiomba Serikali itekeleze jambo Ni kwamba wengi wetu tumezoea tangu mashuleni mwezi wa...
  20. Moja kati ya siku ngumu kwa Cercei Lannister

    Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat. Hii ilimfanya baadae Cercei aje na mpango uliowafuta kabisa wale waliokuwa mahakamani kwa mlipuko mkali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…