siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia, Trump anashindana na utapeli ambao utapelekea nchi yake kudondoka siku zijazo ila watu wasio weledi katika current affairs wanakurupuka tu

    Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja wa kuruhusu mashoga kuongoza nafasi nyeti. Vyuo vya marekani viligeuka chombo cha iran kutuma pesa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku ya uchaguzi, mbali na Polisi, watasambaza pia wanajeshi vituoni na mitaani wakiwa na mitutu ya bunduki

    Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi. Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION. Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuzuia Uchaguzi kwa Maandamano siku ya Uchaguzi.

    1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500. 2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000 3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000. 4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000. 5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike. Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi Tuepuke Kunasa kwenye Mtego wa Chadema Siku ya Uchaguzi.

    CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi. Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi. Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ya ndege kimataifa

    Kila mwaka mnamo Aprili 1, Siku ya Kimataifa ya Ndege hutukumbusha jukumu muhimu la ndege katika kudumisha usawa wa ikolojia. Ndege huchangia afya ya mfumo wa ikolojia, udhibiti wa wadudu na kuzuia magonjwa. "Ndege ni muhimu kwa kudumisha usawa wa ikolojia na usalama, na wanatekeleza majukumu...
  7. JamiiForums Tanzania Al masry siku ya mechi akijiroga atumie chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa,Atapigwa goli kuanzia 4

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu atachezea Mkong'oto wa goli zisizopungua 4 a.k.a 4R za mama ! Waarabu wakitaka hiyo mechi washinde...
  8. JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi afukuzwa kazi Coastal siku moja kabla haijakutana na Yanga

    GSM mungu anakuona Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga. Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You Return to sender Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
  9. JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini mwaka mpya huwa ni tarehe 1 january na siku ya wajinga ni tarehe 1 Aprili?

    Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari. Kuna watu hawakukubaliana...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  13. JamiiForums Tanzania Kama mkeo aliekukosea haombi msamaha na siku zaenda, waweza jisemesha mambo yaendelee?

    Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe. Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman? Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea? Au na wewe utakausha tu hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

    Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali. Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira. Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani. Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga yapewa siku 10 kuwasilisha rufaa yao CAS, wasipofanya hivyo wanakuwa wameondoa Kesi yao

    Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai. Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa...
  16. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
  17. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  18. JamiiForums Tanzania Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya Usonji Duniani, Usonji sio Ugonjwa

    Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza Neuroanuwai na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs)”. Kaulimbiu hii inasisitiza umuhimu...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…