siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

    Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku! Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
  2. JamiiForums Tanzania Alon Ohel amekuwa Mateka huko Gaza kwa siku 570

    Alon Ohel amekuwa kifungoni huko Gaza kwa siku 570, akiwa na njaa, akijeruhiwa, akinyanyaswa na kufungwa minyororo. Alon alipoteza uwezo wa kuona katika jicho moja na alikuwa na vipande kwenye mwili wake tangu tarehe 7 Oktoba. Leo babake alitoa habari mpya kuhusu hali yake ya kushangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Sikiliza kisa hiki cha Mtoto mchanga wa siku tatu Police wambeba kwa mahojiano inasemekana Kamtaja Samia..

    GT Maajabu hayajawahi kuisha.duniani hapo. Mchawi wa samia bado yupo hai. Inasemekana Mtoto aliyezaliwa tarehe 9 April 2025 ameongea na kumkanya Samia kuhusiana na mwenendo wa nchi kwa sasa.
  4. JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  5. JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachowaliza WANANDOA siku ya harusi?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI? Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  7. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  8. JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
  9. JamiiForums Tanzania Itakuwaje siku Muungano ukivunjika?

    Salaam wakuu, Najaribu kuwaza itakuwaje siku muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika, Je Tanzania nayo itakufa, maana ni zao la muungano huo. Katika mambo haya ambayo tunashirikiana chini ya muungano, ni ipi hatma yake. -Ulinzi na usalama wa taifa -Mambo ya nje (diplomasia) -Uraia...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

    Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa. Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
  11. R

    JamiiForums Tanzania John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  12. JamiiForums Tanzania Siku moja watanzania watasahau kabisa kama kulikuwa na CCM

    Watatuua Leo ,watatutesa Leo watatukandamiza Leo lakini mungu Huwa hachelewi wala hawahi Bali hujibu kwa wakati. Watanzania saa ya ukombozi haipo mbali sana. Hauwezi ukaua watu hivyo ukabaki salama
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwenye Siku ya Kumbukumbu ya Holocaust:

    "Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia. Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia. Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
  14. JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  15. JamiiForums Tanzania Halafu mwanaume unawezaje kwenda photoShop kupiga picha za kupost siku ya Happybirthday yako?

    Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana tunapata upinzani mkali sana kumbe unashindana na jamaa yuleyule mwenye ID 3 😁 Mkiwaorodhesha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siku watu watafanya maamuzi magumu kuliko Hamza na wasilaumiwe

    Unapofanya uonevu wa kupitilza, watu watakuvumilia ila kuna baadhi ipo siku wataishiwa uvumilivu na kufanya maamuzi magumu na ya hatari. Ni hatua ambayo mtu huwa tayari kufanya lolote mradi tu na yeye acne watese wake nao wanaumia hata kama atakwenda jela au kupoteza maisha. Na kwa hawa jamaa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  18. E

    JamiiForums Tanzania G55 kujitoa Chadema siku chache zijazo?

    Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa Chadema waliotia nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, liko mbioni kutafuta chama mbadala kutimiza ndoto zao. Soma pia: G55 Kundi hilo limewaambia waandishi wa habari jana Aprili 22 jijini Dar es Salaam kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…