siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Website Yako Ipo Tayari kwaSiku 3 Tu

    Je unataka kuongeza uonekano wa biashara yako mtandaoni na kufungua milango mipya ya wateja bila kuchelewa? Tuna furaha kukutaarifu kuwa tunaunda website zako za kisasa, zenye mfumo kamili na functionalities zote muhimu, ndani ya siku 3 tu! Huduma Zetu Zinajumuisha: Design ya Kisasa (Modern...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpango mkakati maalumu siku ya Oktoba 29, 2025

    Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents. Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
  3. JamiiForums Tanzania Siku yaja Ibrahim Traore wa Tanzania atakua madarakani

    Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . .. Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
  4. JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima je siku 10 hazijaisha? Acheni mikwara mbuzi kwa Serikali

    Ilikuwa tatehe 15 August, na leo ni tarehe 21 Septemba, zaidi ya siku 35.
  5. JamiiForums Tanzania Polisi mnapoingilia mahakama hipo siku mahakama itaingilia polisi ofisini kwenu

    Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine. Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa. Tuje kwenye mada sasa mfano mahakama kuona polisi wakiingilia mahakama na kufanya kama sehemu ya ofisi...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Hesabu rahisi (Fedha,idadi,muda) za kila siku zina eleweka , Basi hii Hapa ni Mbinu rahisi ya kuelewa Programming Kupitia Websites na Mobile App

    Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta. LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
  7. JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  8. R

    JamiiForums Tanzania Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wa CHADEMA Kuachiwa Tarehe 29 Octoba Siku Ya Uchaguzi!

    Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka, Habari ndo hiyo!
  10. JamiiForums Tanzania Shikamoo kwa uliyenipa huu Mseto wa Kutukuka kwani kwa Siku 3 tu Wahusika wanakiona cha Moto, ila wanasema Wanafika vizuri sana Kilimanjaro

    Mchanganyiko wa Kitunguu Maji, Kitunguu Swaumu, Tangawizi, Limao, Asali kisha vyote unachanganyia Maji ya Moto.
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yakutanisha wadau kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Demokrasia

    Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini. Kauli mbiu ya mwaka huu "Demokrasia na Uchaguzi Bandia Tanzania." Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Chama watashiriki...
  12. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

    Kwa wale tunaofuatilia habari za kimataifa tumeona jinsi raia wa Nepal hasa vijana walivyoiangusha Serikali Yao kutokana na ugumu wa maisha. Hali kama hio naiona ikija kutokea Tanzania. Nasemea hivi kwa sababu zifuatazo:- 1. Vijana wengi wanamaliza vyuo,shule za secondary na hata msingi ila...
  13. JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Niaje waungwana Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa. Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: Serikali itatenga TSh. 200 Bilioni kwa vijana na wajasiriamali ndani ya siku 100 za kwanza

    Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini. Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
  15. JamiiForums Tanzania Siku hazirudi Nyuma : Kile Kizazi cha Dhahabu cha Team ya Taifa ya Cameroon

    Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA. Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho. “golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye Kombe la Dunia 1990 (Italia) wakati wa Roger Milla na wenzake. Hicho ndicho kikosi kinachokumbukwa...
  16. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa azomewe siku ya Mwananchi

    Kwa mashabiki wote wa Yanga mtakaojitokeza kwenye tamasha lenu la siku ya Mwananchi tarehe 12/09/2025 hakikisheni huyo mtu niliyemtaja hapo juu akivamia shughuli ya utambulisho wa wachezaji, viongozi, wadhamini, nk. kwenye siku ya Mwananchi, na kuanza kuleta siasa zake za kujipendekeza na...
  17. JamiiForums Tanzania IDF imesema Hamas wameua wanajeshi 4 jana, siku zote huwa hawasemi ukweli wamekufa wengi

    Wanaukumbi. Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo. Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,”...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi waendeleza ukamataji wa Wana CHADEMA siku ya Mashujaa wa Demokrasia

    Taarifa kutoka Arusha Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana.. #Mashujaaday💔
  19. JamiiForums Tanzania Tarehe 9/9/2025,: siku inayotawaliwa na namba 9, namba ya ukamilisho wa mzunguko wa maisha

    Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja katika mfumo wa dijiti moja (1-9). Ikumbukwe kila namba Ina nguvu na mtetemo wake unaovuta hali na...
  20. JamiiForums Tanzania Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu

    Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao: Asante mama! Asante Elimu Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu) Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana Asante jf, Max Me,na members wake kwa ujumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…