siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  2. Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  3. Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  4. E

    Kasi ya Dunia kuzunguka jua yaongezeka, siku kadhaa kuwa fupi Julai, Agosti 2025

    Kwa miezi ya Julai na Agosti 2025, Dunia inatarajiwa kuzunguka kwa kasi zaidi, na kusababisha siku kuwa fupi kidogo. Hasa, siku tatu zinatarajiwa kuwa fupi zaidi: Julai 9, Julai 22, na Agosti 5. Katika siku hizi, urefu wa siku unaweza kupunguzwa kwa milisekondi 1.30, 1.38, na 1.51 mtawalia...
  5. Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  6. Sitosahau siku niliokamatwa na polisi kisa kupunguza upwiru

    Nakumbuka ndo nilikuwa nmemaliza kidato cha nne shule fulani jijini Mwanza. Iyo siku niliwasiliana na mzee akanambia yupo road anakuja home, mzee hua unabana sana yaani akiwepo home hakuna kutoka nikushinda ndani ikabidi niondoke om nienda kupunguza upwiru mabatini jijini mwanza ilikuwa mida ya...
  7. Watumishi MOI washerehekea Siku yao Maalum- 'MOI DAY 2025'

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameadhimisha kwa furaha na sherehe maalum siku ya 'MOI DAY 2025' , tukio linaloadhimisha mafanikio makubwa ya taasisi hiyo katika kutoa huduma bora za Kibingwa na Kibobezi za Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu kwa...
  8. Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  9. Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  10. Mtume bora angekubali kuomba sala 3 tu kwa siku, kusimamisha swala 5 kwa siku ni mtihani mzito kwa waumini.

    Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
  11. L

    Zimebaki Siku 3 Upigwe Penalty Kwa Kuchelewa Ku File Taxes

    Kama wewe hua una file taxes zako mwanzo wa mwezi, nipo hapa kukukumbusha kua mwisho wa ku file taxes ni tarehe 5 July. Ukichelewa, utapigwa penalty ya Tsh. 100,000 kwa business na Tsh. 300,000 kwa Kampuni. Kodi zinazotakiwa kua filed mwezi huu ni hizi; 1. PAYEE na 2. SDL Kama unahitaji...
  12. Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  13. Israel imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60 - Trump

    srael imekubali masharti ya kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60, Trump anasema Israel imekubali "masharti ya lazima" ili kukamilisha usitishaji vita wa siku 60 huko Gaza, Rais wa Marekani Donald Trump amesema. Wakati wa makubaliano yaliyopendekezwa, "tutafanya kazi na pande zote kumaliza...
  14. Uchambuzi wa nyota kila siku

    IJUE ZAIDI NYOTA YA SIMBA , Angalia zaidi uhusiano wa nyota ya SIMBA na nyota zingine Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya...
  15. Siku ya msiba wangu, kwake iwe ni sherehe

    Siku ya msiba wangu Haoni navyoumia, sichoki kubembeleza Kila siku ninalia, huku nikimueleza Karibu nitajifia, Moyo ushajimaliza Siku ya msiba wangu, kwake iwe ni sherehe Aalike na vigoma, na wapiga vuvuzela Kwake nimetia koma, ila anipa madhila Aniona ja ukoma, haoni zangu fadhila Siku ya...
  16. Hivi siku hizi wako wapi wale waliosema Iran haiwezi kurusha hata jiwe ndani ya ardhi ya Israel?

    Ndugu kulikua na mtifuano humu jf baina ya waisrael wa buza na wa Iran wa yombo ila sioni fact za kutetea Israel kwa vita ya rising lion ya siku 12 nimemaliza uzi kwa kuuliza wako wapi waliosema Iran haiwezi rusha hata jiwe ?
  17. B

    Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

    Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria Mapungufu yao yapo wapi🤔 Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu zaidi phds na maboss? Vipi kuhusu ujuaji ndani ya family? Vipi ikitokea nimetumia mabavu na ukali...
  18. Aisee kweli watanzania ni waoga gwajima kapigwa mkwara siku Moja tu kaingia mitini waumini wake wanateseka

    Nimeamini
  19. Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  20. Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

    Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu. Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo. Tunakupenda sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…