siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Siku 9 kabla ya D9: Vitu na mahitaji ya muhim vimeanza kupanda bei

    Siku 9 kwenda D9 Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao Baadhi ya kampuni za mabasi zimeondoa ratiba ya kuanzia tarehe 7
  2. JamiiForums Tanzania Siku 10 kabla ya D9: Mabadiliko makubwa ninayoyaona yananitafakarisha

    Mabadiliko ni makubwa sanaa tuliona mwez mmoja kabla ya 29oktoba watu walifanya mazoez ya pamoja viongoz walitoa matamsh makali na ya kutisha huku sura zao zikionesha dhamira ya kweli ya kuzuia maandamano maana walikua hawachekeshi kuanzia wakuu wa mikoa wa wilaya had mawaziri Maafisa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo siku kuu yangu ni pale anapotangulia kiongozi wa hawa mbogamboga.

    Wakuu, kuanzia leo sichukulii Xmas, Eid, Pasaka kama siku kuu zangu za kujivinjari. Nimeona ni bora nijivinjari Kila anapofariki kiongozi wa hawa waliotuulia ndugu zetu. Yaani wakati watu wengine wanalia huku bendera Iko nusu mlingoti, Mimi naendelea kujipongeza huku nikijisemea "Good...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  6. JamiiForums Tanzania Miongoni mwa siku zinazosubiriwa kwa hamu kubwa

    1.Siku ya kurudi kwa Masihi 2.Tisa Disemba Pia list ya watu wa hovyo kuwahi kutokea tanzania imepata mwanachama mpya anayeitwa Thabiti Kombo
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Internet kuzimwa kwa siku 12

    Kuna tetesi huduma ya internet itazimwa kuanzia 29 Nov to 10 December.
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katika zile siku 100 za mwanzoni za rais Samia zimebaki ngapi huko?

    Zile siku 100 za madarakani za rais wetu mpendwa ,msikivu na mchapa kazi , mwenye utu na mnyenyekevu , zimebaki siku ngapi katika zile 100 za kuingia madarakani na kuyashughulikia yale aliyoyasema atayafanya ndani ya huo muda. Ngoja tum tag hapa samia suluhu.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

    MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha. Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea-Bissau akamatwa siku tatu baada ya uchaguzi

    Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na watu wenye silaha leo, siku chache baada ya uchaguzi ambao mgombea mkuu wa upinzani aliondolewa. Milio ya risasi ilisika katika mji mkuu, ingawa utambulisho wa washambuliaji bado haujafahamika. Embaló na mpinzani wake, Fernando Dias...
  11. JamiiForums Tanzania Tunaposema Haki tunazungumzia haki kwa wote. Serikali nanyi mnaihitaji haki kama sio leo basi ipo siku

    Hamjambo Wote! 1. Sisi Watibeli tunapopigania Haki hatupiganii haki ya kundi fulani au kundi moja pekee. Tunapigania Haki kwa wote. Kwani Haki ni jambo la binadamu wote. 2. Huenda jambo hilo huweza kuchukuliwa ndivyo sivyo na baadhi ya watu kwa kuona labda tunatetea upande fulani au tuna kile...
  12. JamiiForums Tanzania Fungueni makanisa Maandamano yapo palepale. Bado siku 16 sunami ya D9

    Mshajua mmeyakanyaga mwajikosha! Hehee! Sasa zile maiti mtazirudisha lini? Polepole na yule mudude mtamludisha lini?. Nye Nye wabaya sana. Walahi mtalipia. Mwafikiri siye manyumbu wenyu. Na bado! Mwataka kunywa damu zetu. Na bado. Nye mwajua kuzaa siye wetu mwaua. Wetu nzi wenyu watoto wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini Airtel hawafidii zile siku ambazo internet ilizimwa kwa watumiaji wa unlimited internet?

    Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa. Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?
  15. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna kundi muhimu limetuunga mkono. Itakuwa surprise siku hiyo

    Mayi! Achana na ICC. Wao waendelee kutafuta vikao na kupiga simu huko kimataifa ili wamalize kidipolomasia. Wamesahau jambo moja lipo kundi moja muhimu ambalo hilo tayari lishakuwa upande wetu. Hiyo tarehe tunaenda kuwagea suprise walahi hawataamini. Nawaambia siye tupo karibu nao. Twasema...
  19. JamiiForums Tanzania Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  20. JamiiForums Tanzania Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…