siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania "ilipotoa" msaada

    Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha! Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana na rais wa wakati huo Julius Nyerere. Ujumbe huo ulikuwa unatembelea nchi za duniani kuomba msaada...
  2. JamiiForums Tanzania Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

    '....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.' Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi. Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu Bongo sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku

    Bongo ni sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku 😂
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Siku rahisi ni jana tu (the only easy day was yesterday)

    Kwa Majina wananiita bwana Kupata Majaliwa, mtoto wa tatu kuzaliwa katika familia ya watoto wanne inayoongozwa na mama pekee. Familia yetu haikuwa familia yenye uwezo wa kifedha lakini pamoja na hayo mama yetu alijitahidi kila mwanafamilia anapata mahitaji ya kimsingi hasa elimu. Pamoja na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  6. JamiiForums Tanzania Siku vyombo ya ulinzi vikikaa pembeni, CCM mtajamba cheche

    Jeuri ya CCM ni kutumia mabavu. Vyombo vya ulinzi na usalama vinatumiwa vibaya Sana. CCM ni wepesi kama makopo ya plastic. Dola ndiyo inawabeba, siyo sera.
  7. JamiiForums Tanzania Zoezi la sensa 2022 lafikia asilimia 54 ikiwa leo ni siku ya 4

    Zoezi la kuhesabu watu katika sensa ya watu na makazi limefikia 54% hadi leo Agosti 26, 2022.
  8. JamiiForums Tanzania Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
  9. JamiiForums Tanzania Je, watendaji wa mitaa/ vijiji au mabalozi wa nyumba 10 wangalitumika kama makarani wa sensa, zoezi la sensa lingalikamilika ndani ya siku moja tu?

    Nilikuwa nawaza tu kwa sauti (just thinking aloud): "Kuna kama kusua sua kwa zoezi hili la sensa ya watu na makazi kwenye baadhi ya maeneo. Kuna uwezekano baadhi ya kaya zisiweze kufikiwa ndani ya muda uliopangwa wa siku saba. Kuna kaya ambazo makarani wa sensa watazikuta zimefungwa kwani...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini Aishi Manula siku hizi anaikimbia sana Yanga SC?

    Kila mechi za yanga huyu kipa pendwa lazima aumwe shida ni nini? Ama anaogopa aibu?
  11. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: 17% ya kaya zimehesabiwa kwa siku moja

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti 23, 2022. Makinda amesema hayo leo Jumatano Agosti 24 jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana jinsi wapumbavu walivyo wengi. Kuna siku watatuchagulia Rais

    Ujinga, uzoba, uzumbukuku na upumbavu vinaongezeka kwa kasi sana nchi hii. Matatizo haya manne yameathiri watu wengi sana bila kujali elimu zao, nafasi zao au vipato vyao. Kwa ongezeko hili na namna mambo ya kijinga yanavyoungwa mkono nchini basi tutarajie kuchaguliwa rais na mazoba...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyetangaza Agosti 23 kuwa siku ya Mapumziko kwa ajili ya Sensa hakufikiria?

    Kwa mujibu wa Mama Anne Makinda, Zoezi litaendelea kwa Siku 7, yaani endapo hukufikiwa Leo, utafikiwa siku zijazo, sasa ni nini mantiki ya kupumzika leo? Tumeambiwa tupumzike ili tupate muda wa kuona picha za viongozi wakihesabiwa? Haya kesho inafika saa 11 tunaingia barabarani kupambana na...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa hata Serikali kuanzisha mitaala ili watu wapate elimu juu somo hili. Biashara nyingi bado nazoziona hasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Kutoka moyoni tumekwazika, tumesubiri makarani kutwa nzima kumbe ni zoezi la siku saba. Kama ni zoezi endelevu, kwanini leo ikawe mapumziko? Sensa ya kuhesabu siku saba itakupa majibu ya uongo maana watu hawatulii sehemu moja kama mawe. Kuna watu hawatahesabiwa au watahesabiwa mara mbili bila...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA? Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo? Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
  17. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Serikali ilipie Gharama za internet na TV Siku ya Sensa 2022

    Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani. Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha. Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
  18. JamiiForums Tanzania 😡 Ndani ya siku tatu nimekatwa zaidi ya 20,000 kwenye account ya NMB kama government levy. Tuamke, tunaibiwa

    Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

    Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa. Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma...
  20. JamiiForums Tanzania NI Ujinga uliopitiliza kuongeza Posho za safari mpaka Tsh 250,000 kwa siku huku mkitujazia matozo kila sehemu sie walalahoi.

    Rejea Gazeti la Mwananchi la May 27, 2022 Serikali imetoa kibali cha kurekebishwa kwa posho ya kujikimu safarini kutosha Sh120,000 hadi Sh250,000 kwa daraja la juu na Sh80,000 hadi Sh100,000 kwa daraja la chini. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 27, 2022 na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…