siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

    Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako" "Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
  2. Malegendi mnadili vipi na wanawake wanaowapa taarifa wapo siku zao baada ya kula ofa zenu

    Hii hali mnadeal nayo vipi malegendi. Kashakula, kashakunywa, shopping, n.k. lakini umeomba game ndio anakupa taarifa kwamba yupo siku zake... Mbaya zaidi time frame mliyonayo ni siku hizo ambazo atakua kwenye siku zake, hadi azimalize ni yeye au wewe utakuwa umeondoka,
  3. Je, kuna siku ambayo Bongofleva itatengewa category yake binafsi kwenye platform za mziki duniani?

    Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot 100/200? Afrobeats ya west Afrika imefanikiwa kupenya,je, vipi kuhusu Bongofleva?
  4. Choo cha kulipia Tegeta sokoni kimeniharibia siku

    Niende moja kwa moja. Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijisitiri vyoo vya kulipia Tegeta looh salaleee! Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi...
  5. R

    Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  6. Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

    Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka. Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada. Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli. Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo...
  7. Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
  8. Leo ni Maadhimisho ya Siku ya Braille Duniani: Nguvu ya Maarifa!

    Mapitio Zawadi ya thamani zaidi kutoka kwa Mungu ni uwezo wa kuona ulimwengu huu wa kupendeza na wa kupendeza! Kwa kusikitisha, sio kila mtu ulimwenguni anayeweza kuiona. Hata hivyo, katika 1829, Louis Braille alitoa zawadi kubwa kwa jamii yake ya vipofu kwa kuvumbua nukta nundu. Kila mwaka...
  9. M

    Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  10. Daraja la Tanzanite kufungwa kuanzia Januari 2, 2023 mpaka Januari 9, 2023

    Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam anawatangazia watumiaji wa daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa siku ya Jumatatu tarehe 2 Januari 2023 kuanzia saa 12 asubuhi na kufunguliwa siku ya tarehe 9 Januari 2023 saa 12 asubuhi. Sababu ya kufungwa ni ili kuweka nembo ya Tanzanite
  11. Cristiano Ronaldo kuingizia Billion 1.5 kwa siku huko saudi Arabia

    Umri wake ni miaka 37 mwakani mwezi wa 2 tarehe 5 atakuwa na miaka 38. Amesaini mkataba wa kufuru utakaomfanya kulipwa pesa nyingi kuliko mchezaji yoyote duniani!
  12. Maamuzi ya Serikali Yaliyositishwa Siku Chache Baada ya Kutangazwa 2022

    Katika kipindi cha mwaka huu wa 2022, Tanzania imeshuhudia mkanganyiko mkubwa ukitokea kwenye maamuzi ya Serikali ambapo ilikuwa ni kitu cha kawaida kusikia uamuzi fulani umesitishwa siku chache tu baada ya kutangazwa. Ni mikanganyiko ambayo imewapa picha baadhi ya wafuatiliaji wa mambo kwamba...
  13. D

    Siwezi kusahau siku niliyofukuzwa kazi nikiwa baa

    Hello wazee na mashangazi, Kuna tukio lilinitokea Mwaka 2021 mwishon tarehe kama ya Leo sitokaa niisahau. Nilikuwa nimekaa zangu Bar nakunywa castle zangu lite na embassy nimekaa na mhudumu tunapiga story za hapa na kule. Mara ghafla nikasikia SMS imeingia Kwa Simu nikasema siisomi Kwanza...
  14. YOM HAKIPPUR: Wanachokifanya WACHAGA DECEMBER ni Sawa na walichofanya WAISRAEL siku ya kumi ya mwezi KISLEU

    Mwenyezi Mungu aliwaelekeza mara moja kwa mwaka Waisrael wakutane katika mkutaniko na familia zao kupatana nae. Hii ilikuwa ni Siku ya kusameheana. Ilikuwa ni Siku ya kuanza upya na Mungu wao. Wayahudi walisafiri popote walipokuwa duniani na kurudi kwao kwa ajili ya tukio hilo. Siku hiyo...
  15. Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  16. Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  17. S

    CHADEMA siwaelewi. Bado siku 2 mwezi uishe lakini Kamati Kuu haijakutana. Why?

    Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi. Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa...
  18. Siku ya tatu leo nina umeme muda wot. TANESCO watakuwa wameweza?

    TANESCO wamekuwa waungwana wakati wote wakitoa taarifa kwa umma huku wakipingwa na KEY BOARD WARRIORS ila mwisho wa siku kama TANESCO walivyosema hali ingeweza kurudia kwenye uhakika wa kupata umeme mwishoni mwa Desemba 2022. Naona Mungu kasimama nao na wanafiki wanahamia kwa uhamisho wa Feitoto.
  19. Ripoti Siku 100: Rais Ruto amefanya vibaya kwenye Usalama wa Chakula

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%. Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
  20. J

    Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

    ..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango. ..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…