siku ya wanawake duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Siku ya wanawake Duniani: DAWASA tutazuia mivujo ya maji mitaani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji. Maadhimisho haya...
  2. H

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  3. Manyanza

    Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  4. H

    Mhe.Ghati Chomete atuma ujumbe mkoani mara siku ya wanawake duniani

    MHE.GHATI CHOMETE (MB) ATUMA UJUMBE MKOANI MARA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Wanawake na wananchi wa Mkoa wa Mara, Mimi Mwakilishi wenu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ninaungana na Viongozi, Asasi, Taasisi, Mashirika, Makampuni na Makundi yote Nchini Tanzania tukiongozwa na Mhe...
  5. Prince Luanda

    Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
  6. Cute Wife

    Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

    Wakuu, Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni 1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje 😎😎 2. Doctor Mama Amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila nyuzi zako inaonyesha uko smart sanaaaaa. Nakupenda😍 (Edited, nimelikumbuka😌) 3. Na wanawake...
  7. Blasio Kachuchu

    Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  8. D

    DAWASA yawafikia wananchi kuelekea Siku ya Wanawake Duniani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho kwa lengo la kuwafikia wananchi kutatua changamoto na kupokea maoni juu ya uboreshaji huduma ya maji. Akizungumzia katika Dawati hilo Afisa Huduma...
  9. Q

    CHADEMA yaiandikia UN barua kuhusu kuzuiwa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

  10. Parabolic

    ACT Wazalendo kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa maombolezo ya Oktoba 29

    Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29, 2025 wakitumia kauli mbiu ya “Machozi ya Mama – Deni la Taifa”. Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya...
  11. McLaren

    Picha: CCM wapigakura wenu hawana simu? Siku ya wanawake mlitia aibu sana mitandaoni, nchi nzima ilisimama na CHADEMA

    Wakuu, Hivi CCM wanapojitambaga kwamba wana wanachama Milioni 10, hawa wanachama likija tukio kubwa la kitaifa, huwa wanaendaga wapi? Au hawa wanachama wote hawana simu na devices za kufuatilia matukio ya CCM humu mitandaoni? Wikiendi iliyopita tuliona kulikuwa na matukio ya kuadhimisha...
  12. McLaren

    Video: Nimeshangazwa na Profesa Mkenda kuweka kitenge kwenye bega kwa style ya kike. Au hizi ndio fashion za kichaga?

    Wakuu, Nimekutana na video ya Waziri wa Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake. Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani (kama fashion) the way ambayo tunaona wamama wanawekaga vitenge vyao. Hii ni fashion ya kichaga...
  13. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana?
  14. Y

    David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

    Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa. Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa...
  15. R

    Siku ya wanawake duniani na maajabu yake Tanzania

    Habari za muda huu ndugu wanajukwaa Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wanawake wamejisifia sana,wanasema wameweza mambo mengi mpaka kuendesha mitambo mikubwa(...
  16. musicarlito

    Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  17. Just Pray

    Dkt. Gwajima: wanawake wameitika, hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea bali maonesho ya wajasiriamali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini. “Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea...
  18. The Palm Beach

    Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  19. Right Marker

    Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

    Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela: 🙍MWANAUME:👁️‍🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
Back
Top Bottom