siku mbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. October 2pm

    Mtibeli usijisahaulishe zimebaki siku mbili kufikia tar 7 tuone ukiaibika. Lisu hatutamtoa kwa ramli zenyu

    Kuna kajamaa hapa kamegeuka kanabii kabuzwagi. Stori zake za kuungaunga zisizo na mbele wala nyuma. Kameacha ushauri wa ndoa na mapenzi kameingia anga za juu. Robert Heriel Mtibeli na genge lako britanicca TumainiEl MALCOM LUMUMBA mmeshikwa pabaya. Usije jishaulisha zimebaki siku mbili uende...
  2. Prof_Adventure_guide

    Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari)

    Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari) Karibu sana ndugu yangu Mtanzania! Kama tour guide mwenye miaka mingi ya uzoefu, napenda nikushirikishe itinerary ya safari ya siku mbili Serengeti. Safari hii ni budget friendly camping safari, lakini bado inakupa...
  3. Emilio Mzena

    Internet ya Voda kama iko slow sana kwa hizi siku mbili tatu

    Vipi wananzengo… Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
  4. D

    PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  5. Mr Beach Boy

    Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

    Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari. Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe. Nimemaliza nazima data Hata
  6. peno hasegawa

    PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  7. Just Pray

    Sudani: Kipindupindu chaua watu sabini ndani ya siku mbili

    Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma zake za matibabu. Katika taarifa, wizara imerekodi maambukizo mapya 942 na vifo 25 kwa siu pekee ya...
  8. Secret Star

    KERO Mbagala Chamanzi Umeme unakatika siku Mbili Mfululizo. TANESCO Vipi?

    Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho. Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
  9. ITR

    Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  10. The redemeer

    Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

    Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
  11. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  12. Waufukweni

    PICHA: Hali ilivyo mjini kuelekea mkutano wa Nishati Dar

    Ukienda mjini leo, unaweza kuhisi ni sikukuu au mwisho wa juma (weekend), baada ya barabara kufungwa kutokana na ugeni wa marais na viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa wa Nishati unaoanza leo, Januari 27, 2025 jijini Dar es Salaam. Ilivyozoeleka siku ya Jumatatu katikati ya...
  13. Intricate

    Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  14. Raia Fulani

    Kwa ugeni huu wa siku mbili kuhusu mkutano wa nishati, serikali ingetoa mapumziko

    Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
  15. chiembe

    Mzee ambaye ni informer wa Lissu ambaye kumfata kwake ni safari ya siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege ni yule Mzee wa Bunda?

    Tundu Antipas Mugway Lissu anasema kwamba kuna mtu mkubwa serikalini ambaye humpa siri mbalimbali kwa kupitia Mzee mmoja ambaye kusafiri kwenda kwake inachukua siku mbili kwa gari, na siku moja kwa ndege, ni wazi kwamba katika safari ndefu nchini, moja wapo ni ya kwenda mkoa wa Mara, na utapita...
  16. kiss daniel

    Watu 127 wauawa Sudan ndan ya siku mbili

    Amani kwenu waungwana Baada ya wakristo wa south Sudan kuwaachia wasudan nchi yao Mambo yanaendelea kuwa Mambo Watu wa Sudan waliwaita wasudan kusin kuwa ni makafiri na wakaitangaza Sudan kuwa nchi ya kiislamu Bila kinyongo wala nini watu wa Sudan kusin ambao asilimia 99 ni wakristo...
  17. ACT Wazalendo

    PreGE2025 OMO: Zanzibar Hatutakubali Kura ya Siku Mbili 2025

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili. Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameyasema hayo leo Jumatatu Disemba 09 2024, aliposhiriki akiwa Mgeni Rasmi...
  18. Waufukweni

    RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  19. Magical power

    Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

    Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita. Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho...
  20. mdukuzi

    Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

    Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu Nikamwambia njoo ulale kwangu, usiku mrefu ndugu zanguni, nilikuwa naishi kighetogheto chumba...
Back
Top Bottom