siku 100

Siku (born 22 November 2011 in Skandinavisk Dyrepark) is a male polar bear cub, he has several siblings such as Sné. After his mother failed to produce enough milk to feed him, he was taken into care in the Scandinavian Wildlife Park in Denmark.In terms of popular appeal, he is by some considered to be a possible successor to the polar bear Knut, who attracted worldwide attention at Berlin Zoo from 2006 until his death in 2011. A YouTube video showing Siku at the age of one month attracted hundreds of thousands of hits in just twenty-four hours and he was hailed internationally as an online sensation, especially after appearing on the official BBC website.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Jinsi nilivyokaa siku 100 bila kuangalia saa

    Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
  2. A

    KERO Kivuli cha "Oktoba 29" kilivyoziweka siku 100 za Urais wa Samia kwenye mabano

    Zikiwa zimepita siku 100 tangu kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza Tanzania katika muhula wake wa pili, tathmini zimekuwa nyingi na zenye sura tofauti. Wapo wanaotazama kisiasa, wengine kiuchumi, kijamii, kiusalama na hata kidiplomasia. Kila kundi lina taswira yake. Hata hivyo...
  3. W

    Siku 100 za Rais Samia vingapi ametekeleza?

    Leo, Februari 10, 2026, ni siku ya 100 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuanza awamu yake ya pili ya uongozi wake Novemba 03, 2025. Siku 100 ni muda mfupi katika uongozi wa taifa, lakini mara nyingi ndiyo kioo cha kwanza cha mwelekeo wa mamlaka. Kwa Rais Samia, siku hizi hazikupita...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega: Siku 100 za Rais Samia Serikali imekamilisha Miradi 40

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
  5. M

    Mwigulu: Serikali imeajiri walimu 7,000 ndani ya siku 100 alizosema Rais Samia

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000...
  6. Munch wa Annabelle

    Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  7. Akilindogosana

    PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

    Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje? Je, nchi itasimama kwa siku 365, siku 730, siku 1095, siku 1460 bila...
  8. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Katika zile siku 100 za mwanzoni za rais Samia zimebaki ngapi huko?

    Zile siku 100 za madarakani za rais wetu mpendwa ,msikivu na mchapa kazi , mwenye utu na mnyenyekevu , zimebaki siku ngapi katika zile 100 za kuingia madarakani na kuyashughulikia yale aliyoyasema atayafanya ndani ya huo muda. Ngoja tum tag hapa samia suluhu.
  9. britanicca

    Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

    Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe. The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye...
  10. tonicimmobility

    PostGE2025 Ukiskiliza huu ufunguzi wa hili bunge unaweza dhani baada hizo siku 100 Tanzania itakuwa paradiso, Matapeli wako kila mahali

    Ukimsikiliza huyu mama kwa anayoyaahidi kama so yeye aliekuwa madarakani nakushindwa kufanya hayo hayo, wanafanya siasa ionekane ni mchezo wa kitapeli. Leo hii anaahidi ahadi ambazo unaweza dhani Tanzania inaenda kuwa peponi siku 100 zijazo. Tuweni makini watu wangu, siku hizi matapeli wako...
  11. Avith almachius

    PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
  12. R

    PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  13. The Burning Spear

    PostGE2025 Waliahidi siku 100 za kwanza, wakumbusheni leo ni siku ya 14 kimya bado wamejifungia ndani tukutane D9!

    GT Mfikishieni salamu bibi ya kizimkazi leo ni siku ya 14 kati ya zile mia alizosema aha aha a nachoka mimi mtoto wa mzee mwandambo, dalili zinaonyesha serikali iko paused na hawajui waanze na gia gani ya uongo kudadadeki. Mungu wa mbinguni azidi kutupa uhai tushuhudie maajabu ya TANZANAI ya...
  14. R

    GE2025 Dorothy Semu: Ndani ya siku 100 ACT-Wazalendo itahakikisha inaunda Tume ya Kijaji kuchunguza nani anahusika na Matukio ya Utekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya Pasua na...
  15. Waufukweni

    GE2025 Dkt. Nchimbi: Serikali itatenga TSh. 200 Bilioni kwa vijana na wajasiriamali ndani ya siku 100 za kwanza

    Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini. Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
  16. Just Pray

    GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  17. B

    Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  18. X

    Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  19. Said Stuard Shily

    Simba Mkataeni Ramadan Kayoko kuna siku atawaumiza pakub

    Anashiriki kupoteza muda kwà kushirikiana na Timu pinzani,Anatoa kadi ovyo kwà wachezaji wa Simba,Faulo za Simba hazioni,Anawakoromea wachezaji wa Simba hata kama wanadai haki yao.Kifupi Kayoko hana hadhi ya kuchezesha ligi kuu labda ndondo cup ambako nako anaweza kuambulia kichapo amenikera...
  20. K

    Urusi: Mkosoaji wa Rais Putin alazimishwa kuisikiliza hotuba ya Rais kwa siku 100 mfululizo

    Mkosoaji mkubwa wa rais wa Urusi, Alex Navalny amelalamikia kitendo cha walinzi wa gereza aliloshikiliwa kumlazimisha kusikiliza hotuba ya Rais Vladimir Putin kwa muda wa siku mia moja mfululizo. Mwanasheria wa Navalny, wakili msomi Diwalii,amedai kuwa mteja wake alilazimishwa kuisikiliza...
Back
Top Bottom