sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutaja makabila ya madada poa sio sawa kabisa, Tabia hii inajenga sterotyping ya kudhalilisha kabila zima.

    "UMALAYA , UMALAYA , UMALAYA" - " MALAYA AKIKAMATWA ANAVALISHWA BANGO, KUNA SEHEMU YENYE KABILA LAKE HALAFU UNAPIGWA PICHA " HII SIO SAWA!! Mfano hawa ni wale walikamatwa kwenye maanguro hawa walikamwatwa wakijiuzza mitandaoni
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

    Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo? Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya? Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Kuwa na uwezo wa Kukopesheka ni sifa nzuri kwa Taifa

    Waziri wa Fedha na mipango Dr. Mwigulu Nchemba akizungumza na Clouds 360 asubuhi hii kuhusu Deni la Taifa amesema Tanzania ni nchi iliyo na sifa nzuri kimataifa, ikiwemo kuwa na uwezo wa kukopesheka pasipo vikwazo. Akijibu swali la Mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini anajisifu kuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Hata kama majigambo ni asili yao ila hii imezidi sasa, ni kabila gani hili wemeanza sifa za kuzika kwa kutumia crane?

    Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona? Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa. Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

    Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao. Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM wanaleta siasa za kijima. Wanapanga wenyewe sherehe baadaye anatokea kiongozi wao anaghairisha ili wapate sifa

    Huu mchezo nilikuwa naukemea tangu enzi za Magufuli. Hii leo ni zaidi ya mara 4 sherehe za kitaifa kughairishwa na viongozi kisha fedha kuamuru zipelekwe kwingineko. Rais hupatiwa kitabu chote cha bajeti kabla haijasomwa naye hutoa mapendekezo au amri zake. Kisha hurudi kwa wahusika. Sasa huu...
  7. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

    Manipulators katika mahusiano; Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa. Wanapenda kutishia wenzao...
  9. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mnyama huyu ana sifa zipi anuwai?

  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Sifa za wabunge

    Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa? 1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
  12. JamiiForums Tanzania Sifa za kuitwa mtaalamu

    Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali. Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science. Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Biblia ingeendelea kuandikwa; je, wewe na mimi tungeandikwa kwa sifa gani ndani ya Kanisa?

    KAMA BIBLIA INGEENDELEA KUANDIKWA, JE WEWE NA MIMI TUNGEANDIKWA KWA SIFA GANI NDANI YA KANISA? Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Hallelluya watoto wa Mungu, tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema na ukuu wake katika maisha yetu. Pamoja na uovu wote tunaomtenda lakini amezidi kutupa nafasi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

    Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika. Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawataki kutambulika kama 'Wife Material' siku hizi, wanajihami kwa kukosa sifa hizo?

    "A good woman is not one size, women say" "Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua. Wasichana wanakumbushwa kwamba sifa inayotamaniwa zaidi na wanaume ni aina ya 'wifey material'...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha joto sifa ziende kwa wanawake wanaoshinda na kanga

    Wanawake wote mnaoshinda na kanga kipindi hichi cha joto popote ulipo nchini Tanzania amini kwamba you do right thing for the right time.
  20. JamiiForums Tanzania Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

    Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo: a) Rangi ikiwa nyeupe 15% b) Muonekano kwa ujumla 25% c) Chura 35% d) Mguu 5% e) Uzuri wa tabia 5% f) Umbo lake 5% g) Sifa ya familia anayotoka 5% h) historical background kama aliwahi kuzaa au kutoa mimba 5% Je, wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…