Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Habari za saa members wote, leo kwa uchache ningependa kulizungumzia taifa kwa namna linavyo endeshwa.
Mpaka sasa ndani ya taifa letu la Tanzania taaluma nzima ya uongozi imepotea kabisa na siasa za kizandiki zimetamalaki kila pande.
Taifa hili limeshindwa kupata uongozi/viongozi kwa muda sasa...
UVCCM Taifa
13 February, 2023
Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama
Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea.
Ujenzi umefikia asilimia 22.67%...
Sukuma Gang mnaweza kujifariji walau jirani Kenya wanatembea na falsafa za Shujaa Magufuli;
1. Wabunge wanaunga Juhudi za Dr. Ruto.
2. Hotuba za Kanisani Jumapili.
3. Matajiri wanalipa kodi.
4. Wanyonge wanapata upendeleo nk.
Sasa ni wazi kuwa katika ukanda Wa maziwa makuu Tanzania ndio nchi yenye viongozi Bora siasa safi.
Hakuna mtu anayeweza kubisha juu ya hili.nchi hii sasa inafaa kwa kuishi
Tanzania Ya sasa ina mpa kila mtu na fasi ya kuishi bila Hofu. Ulinzi umeboreshwa kwa kila mtu.shule hospital...
Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake.
Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa.
Anakubalika sana kuliko hata...
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi.
Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike mapema, sihitaji kuelezea mengi wapiga kura wa Kawe majibu wanayo.
Tuambie, vipi kuhusu Mbunge wako ili...
Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi;
1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa.
2. Kupigwa risasi kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima.
Lakini pia aliongezea...
Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya.
Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
Wakuu,
Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa.
"Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka...
Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao.
SWALI:
Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ?
KARIBUNI
Zimebaki siku chache kufikia Tar 13 Februari 2023.
Hakiki Leo. Piga *106#, chagua 5 kisha chagua 1 kuhakiki namba kuu au chagua 2 kuhakiki namba za ziada.
Pia unaweza kutembelea duka au Wakala wa mtandao wako kuepuka laini kufungiwa.
#HakikiLainaYako
#2023kidijitalizaidi
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa;
"Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.
Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe...
Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema;
Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye majalada kuhusu tukio hilo na wenye wataalamu wanaojua silaha illiyotumika hivyo wao ndio wa...
Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu.
Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati wa muundo wa Katiba yao. Katika majimbo yao yote 50, waliipa mji wao mkuu Washington DC utaratibu...
Kulitolewa wito kuwataka vyama kufanya siasa za kistaarabu.
Kama vile wametumwa yamezuka magenge ya chawa yenye rabsha na uzushi wa kila aina mitandaoni, kupalilia fitna zozote ndani ya vyama vingine.
Kwamba wenye chawa hawakemei hali hizi yawezekana ndiyo sera zao.
Torati ya Mussa...
Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi!
Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...