siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  2. JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

    Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi. Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  5. JamiiForums Tanzania Tuweke siasa pembeni, usomi ungekuwa unatumiwa mfano aliyepata uwaziri wa ardhi Jerry Silaa jinsi sheria anavyoweza kuitumia kwenye utendaji

    Sijawahi kumfatilia sana waziri wa ardhi, Jerry Silaa ila nilichomkubali baada ya kuona jinsi anavyochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi wengine wangekuwa mfano wa kuonesha elimu yao na utendaji tungekuwa mbali sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  7. JamiiForums Tanzania Chatanda awasili Mwanza kushiriki mazishi ya Jane Msoga

    📅 03 Mei, 2024 📍 Mwanza Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewasili Uwanja wa Ndege Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 03 Mei, 2024 kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Wilaya ya Sengerema Ndg. Jane James Msoga. Ndg Jane alifariki tarehe 01 Mei, 2024...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda akutana na Vijana zaidi ya 223 maarufu kama wadudu ofisini kwake na kuwataka kuwa walinzi na mabalozi wa kutangaza mazuri ya Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Makonda hapoi wala hakauki midomoni mwa watanzania.ni mtu na kiongozi wa kugonga na kuteka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kila uchwao utafikiri field Marshall anayerejea kutoka uwanja wa vita na mapambano. Baada ya kuwa na utaratibu wa kukutana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa na siasa za kubadilika kama kinyonga

    Wakati Mkapa - CCM Wakti wa JK - CHADEMA Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia zuia mikutano ya Siasa mpaka wakati wa Kampeni

    Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya. Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za Kibaguzi hazitajenga umoja wa Kitaifa

    Na Fredrick Nwaka Tanzania ni nchi inayosifiwa Afrika na duniani kote kwa utulivu wa kisiasa, ikilinganishwa na mataifa jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji na DRC ambazo zote zimepitia majaribu makubwa ya kisiasa ambayo kama kusingechukuliwa hatua za makusudi kumaliza majaribu...
  12. JamiiForums Tanzania Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Nape hasimamii lolote zaidi ya tumbo lake, anaweza kufanya lolote akipata wa kumpa cha kutupa tumboni!

    Msikilize baada ya kuona tumbo lake lina njaa, huyu atafanya lolote akipata mtu wa kumpa cha kutupa tumboni!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini vetting ya viongozi wa Zanzibar hufanyika Tanzania bara?

    Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulioundwa mwaka 1964. Vifungu vya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Upenzi uliotopea na ufia vyama vya siasa ndio kiini na chimbuko la kusuasua kwa uchumi wa nchi yetu! Iko tutapatiwa kiongozi mbovu sana

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi. Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: CHADEMA Mkitaka Kuinuka Tena Kwenye Siasa Mpeni Huyu "Sheikh Ally Mohamedi Kadogoo" UKatibu Muenezi wa Chama Mtafika Mbali na Mtaheshimika

    Sikuwahi kufatilia Mikutano ya CHADEMA kwa Uangalifu kwa sababu Najua Mikutano yao Mingi Huwa ni Malalamiko na kashfa na hasa wengi Kushindwa kujibu hoja na Asilimia Kubwa kuwa waropokaji.. Japo Kuna watu makini Ndani ya Vijana hao wa chama Siwezi kukataa kuna watu au Vijana makini na Wanahoja...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa vya Upinzani vipo wapi?

    Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo? Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo. Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania Sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi

    sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi. ambazo, ni pamoja na kueneza itikadi, sera, mipango na mikakati yake kwa wananchi, kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyimbo nzuri zenye ujumbe, sauti, midundo na maneno ya vukutia kuskia, kueleweka na kuimbika...
  20. JamiiForums Tanzania Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…