siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Tec mkiamua mnaweza vzr san kubadili siasa za nch hii

    Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani Tec mnaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Kauli Inayotolewa na Viongozi wa Chama na Serikali ya Kuwataka Viongozi wa Dini Wasichanye Dini na Siasa ni Kauli za Kishetani.

    Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:- 1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA. 2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Iwe marufuku kwa Makanisa kuwaruhusu watu aina ya Paul Makonda, kutumia Madhabahu kuelezea Siasa na CCM!!

    Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi. Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma. Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA . Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini...
  4. JamiiForums Tanzania CHINA AMEKWISHA SHINDA VITA YA UCHUMI DHIDI YA MAREKANI : MAREKANI ALIKOSEA KUCHANGA KARATA

    CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina. Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Naona siasa za Serikali ya Mapinduzi kwenye nchi ya Jamhuri

    Mambo mengi yanayoendelea kwasasa hapa Tanganyika yananikumbusha mbunge mmoja wa bunge la katiba aliyesema kuwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haikupatikana kwenye karatasi. Mwalimu Nyerere alipata uhuru wa Tanganyika kwenye karatasi tena bila damu na kwa kuandaliwa kabisa awe kiongozi...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, Karibuni ACT Wazalendo

    "Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa. Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA ina uwezo mkubwa sana kutengeneza ajenda na mijadala ya siasa za nchi kitaifa

    Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa. Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  9. JamiiForums Tanzania Akili kumkichwa: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yakerwa Lissu na wapinzani kubughudhiwa wakiwa kwenye kufanya siasa. "Yataka 4R za mama, ziheshimiwe!"

    Hii si habari mbaya kwa mama kupatiwa mlango wa kutokea: Wanasiasa waachwe wafanye siasa! Heko Dr. Nchimbi rhumba liendelee: Kazi iendelee. "No reforms no election!"
  11. I

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanajeshi jiondoeni kwenye siasa msije kupata fedheha!

    Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa! Aibu yenu! https://twitter.com/EggleVuvu/status/1911627918297510122?t=DZmaso4Rq_BLUHV-3rc_vA&s=19
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  13. JamiiForums Tanzania Nadhani Siasa za 2025 zishakwisha tunapoendelea kupambania Maisha na Afya zetu tujadili hivi vifurushi vipya vya NHIF

    Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :- 1. Kuna dawa muhimu zimetolewa 2.Gharama zimeongezeka 3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
  14. JamiiForums Tanzania Dini haina mchango wowote katika ubora wa siasa na uongozi wa nchi

    Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi ! Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mikakati ya Ushindi kwa Vyama vya Siasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 Tanzania

    Na. Alloyce, P.R. Utangulizi Uchaguzi Mkuu wa 2025 unatarajiwa kuwa mojawapo ya matukio muhimu katika historia ya siasa za Taifa letu (Tanzania). Katika mazingira ya kisiasa yanayobadilika kwa kasi, vyama vya siasa vinakabiliwa na changamoto ya kujenga imani kwa wananchi, kuongeza ushawishi na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi kwa raha usiingie katika Siasa, zama katika Uislamu

    Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu. Mambo ya Msingi katika Uislamu...
  18. JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa kuchambua siasa za kimataifa

    Wakuu habar zenu Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano Sharti awe mkoa wa mbeya
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Siasa siyo mchezo wa jando na unyago

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa Viongozi wa Jumuiya ya Vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye maeneo yao, huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda imani waliyopewa na vijana...
  20. JamiiForums Tanzania Tutafakari siasa za CCM na Chadema kwa mfano wa Msumbiji frelimo na podems nayaona hapa kwetu..

    Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…