siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. K

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa

    Wananchi tumekubali siasa kuwa biashara ndiyo maana kila mtu anakimbilia kwenye chaguzi. Bila kuvunja hii biashara na kufanya siasa kuwa witu hatutaweza kutoboa kama nchi Umasikini wetu umechagiwa na Biashara ya Siasa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa umoja wetu tukatae hii migao ya Bara na Zanzibar kwenye siasa ni ubaguzi

    Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama kama mengine!!!. Hii kulazimisha kisheria kugawa mali za wati zaidi ya milioni 60 kwa watu milioni 2...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unamjua Meya wa Jiji lako la Dar es Salaam?

    Wana JF, Hata kwa kuwa tuna chronic issues (majitaka, dampo, mitaro, parking, paving nk) kero hizi zinamfikia nani?
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA imeahirishwa hadi Agosti 7, 2025

    Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni, uamuzi wake unatarajiwa kutolewa Julai 28, 2025. Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu...
  5. JamiiForums Tanzania Wiki inayoanza kesho jumatatu itakuwa na matukio ya kusisimua katika siasa ya nchi yetu

    Hii itakuwa wiki ya moto sana kwa wanasiasa na siasa kwa ujumla. Kuanzia chama tawala mpaka upinzani. Kuna matukio ya kisiasa yatatokea ndani ya wiki hiyo kuanzia kesho jumatatu tarehe 28/07/2025 mpaka jumapili ya 04/08/2025 Tuvute subira
  6. JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  7. JamiiForums Tanzania Mkatae mkubali Makonda amezaliwa kuwa mwanasiasa ila Lissu kwenye siasa analazimisha

    Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania, Lissu hana mipango ya kesho yake, anaenda tu kama gari lililokosa mwelekeo, siasa za mtandaoni zimemponza...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye masuala ya kidigitali, CCM imejidhihirisha kua ndio chama cha siasa Baba wa Teknolojia Tanzania

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya ccm, mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kidigitali, umefanyika kwa kwa mafanikio makubwa, kwa maelewano na utulivu wa kiwango cha juu sana miongoni mwa wajumbe wa mkutano huo, tena kwa gharama kidogo na muda mfupi sana. Teknolojia imetumiwa ipasavyo na ccm...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikiliza mahojiano ya Mr Nyanda na Balozi Polepole, Nimegundua Hoja yake ilipo. Katiba ya JMt inasigana na utaratibu wa vyama vya siasa

    https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!! Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
  11. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  12. JamiiForums Tanzania Sura Tatu za Dini ya Kisasa: Biashara, Udhalilishaji na Siasa

    Katika kipindi cha sasa, dini imeanza kuchukua sura mpya katika jamii ambayo inazua maswali mengi kuhusu uhalisia wake. Kwa baadhi ya watu, dini imepoteza dhima yake ya msingi ya kuwa chombo cha maadili, mshikamano, na uhusiano kati ya binadamu na Muumba wake. Badala yake, inatajwa kuwa njia ya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  14. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwenye siasa ambako hakuna ITHIBATI, wenye elimu wamehamishia magodoro bungeni; wasio na elimu ndio wanachangia kila hoja

    Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook. ==== FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu? Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja: 1. Wenye vyeti...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Godbless Lema ametangaza kustaafu siasa

    Barua inasambaa Facebook na WhatsApp.
  17. JamiiForums Tanzania Godbless Lema astaafu siasa

    Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Samweli Karao apiga Marufuku Kampeni za Siasa Msiba wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Arumeru

    Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia msiba huo kwa malengo ya kisiasa. Akihubiri mbele ya viongozi mbalimbali...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NCIC Kenya yamfuta Kazi Makamu Mwenyekiti wa Tume kwa Kujihusisha na Masuala ya Siasa

    Tume inayosimamia kupunguza Migogoro ya kikabila na kuimarisha umoja wa kitaifa Kenya (NCIC) imemfuta kazi Makamu Mwenyekiti wake, Wambui Nyutu, kwa kushiriki siasa za chama kinyume na kiapo chake cha kazi. Taarifa hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa NCIC, Dkt. Samuel Kobia, baada ya kikao maalum...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…