siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Katika watu wabaya Siasa za nchini ni Prof. Lipumba, ni mtu wa system na dalali wa CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini na Kada wa chama cha ACT Wazalendo, Selemani Bungala almaarufu "BWEGE" amesema Profesa Ibrahim Lipumba ni moja Kati ya watu wabaya Katika siàsa za Tanzania Kwani yeye ndio aliyechangia kudumaza Chama cha wananchi CUF.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Florence Samizi kuboresha huduma za afya Muhambwe

    Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Florence Samizi, ambaye anatetea kiti chake amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita Jimbo la Muhambwe lilipokea zaidi ya Bilioni 50 ambazo zimejenga miundo mbinu mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya hivyo kuboresha...
  3. JamiiForums Tanzania Almas (NRA): Nitawalipa Watanzania wote GB 200 kama fidia ya bando walizowaibia kwa miaka yote, mkinichagua kuwa Rais

    Mgombea uraisi kupitia ticket ya Chama cha National Reconstruction Alliance (#NRA) Hassan Almas amewaahidi watanzania kuwa baada ya kuwa Rais atawalipa watanzania wote GB 200 kama fidia kwa wizi wa bando uliokuwa ukifanyika miaka yote ya nyuma. Ameyazungumza hayo leo Septemba 05, 2025 alipokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Sitapunguza Mishahara Wala Posho za Watumishi Nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema hatua hiyo inalenga kuongeza morali kazini na kuzuia tamaa ya rushwa ambayo mara nyingi huzaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Watoto wa Nyerere, Mkapa na Magufuli hawana ushawishi kwenye siasa za Tanzania

    Watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamini William Mkapa na John Pombe Magufuli hawana kabisa ushawishi kwenye siasa za Tanzania. Tofauti na wenzao watoto wa Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete na sasa Samia Suluhu Hassan, ambao wote wazazi wao kwa nyakati tofauti wameshika...
  6. JamiiForums Tanzania Wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni?

    Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
  7. JamiiForums Tanzania USHAURI TU: Tukianza kampeni tuwe tunaachia na idadi kadhaa ya wafungwa hata wakirudi kwao waukumbuke uchaguzi uliowatoa

    maombi yangu kwa Mungu mnapoanza kampeni muanze kuwapa msamahq baadhi ya wafungwa kama tunavyowapa siku za sherehe kadhaa mungu wa majeshi awakumbuke kwenye msamaha huu damu ya Yesu ikawafunike mnapowaachia nje wenye haki na wasio na haki amen Amen Amen
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  9. JamiiForums Tanzania Mbwa, Paka na Panya . Ndio mfano wa Siasa Tanzania

    Huko zamani. Mbwa alikuwa anamfukuza Paka. Na Paka anamfukuza Panya. Uadui huo ulikuwa kila mtu anauona kiuhalisia na kwa vitendo. Nadhan ni kwasababu ya chakula/posho waliyokuwa wanapata. Au pengine kwasababu ya faida waliyokuwa wanapata kwenye makaz ya sisi Binadam(muajiri wao). Ila...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinaumiza moyo kuliko mapenzi

    Wakati huo Watanzania halisi wamechoka wamechakaa , huko mikoani umaskini ni wa kutisha bora hata Dar
  11. JamiiForums Tanzania Samia: Amos Makalla umekuwa kiongozi mzuri, kwa muda mfupi umeongoza kwa mafanikio makubwa kwa kukiunganisha chama chetu, sasa tumekuongezea jukumu

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, akiwemo Amos Makalla aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ili kuanza rasmi majukumu yao mapya katika utumishi wa umma nchini. Katika hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika Ikulu jijini Dodoma leo Agosti 26, 2025...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Laiser: Taifa bila haki ni taifa la kuangamia

    Askofu Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Magharibi Kati Tabora, ametoa wito kwa Watanzania kusimama imara kutetea haki, akisisitiza kuwa bila misingi ya uadilifu na usawa taifa haliwezi kusonga mbele. Akihubiri Agosti 24, 2025 katika ibada...
  13. JamiiForums Tanzania Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ukweli CCM inaweza kuwa imeingilia kanzi data ya NIDA!?

    Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA. Nami sikusita kutoa ushirikiano. Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana. Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
  15. JamiiForums Tanzania Ni akili za kijinga hao wanasiasa mnaowapigania wanaishi maisha makubwa , familia za zipo ulaya ila wewe unajitoa sadaka na kuacha watoto wako wadogo

    Niliwahi kuwaambia kuwa Chadema na Ccm hivi Vyama having uadui wowote Ila vina utofauti wa kimtazamo. Hawa sio maadui na hawajawahi kuwa maadui . Kitendo cha MTU kukubali kuuliwa ,kuteswa kisa CCM au chadema ni ukosefu wa akili. Mkija kuuelwa huu mchezo mtakuwa mshapoteza muda mrefu Sana ...
  16. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya lakini nashauri CCM yale mabasi yenu bora myageuze kuwa mwendo kasi

    Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha.. Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao.. Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu.. Sioni ulazima wa kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba angekuwepo

    To be honest hali ni mbaya sana kwa site. Sio waislam sio wakristo. Wanalalamika na kulalamikia hali iliyopo. Nipo sehemu nasubiria huduma ya kiserikali, watu utadhani wamefiwa. Ndio mmoja mwenye sigda na kofia yake anasema nyumba haina mwenyewe. Wapangaji wanajiamulia la kufanya. Huduma za...
  18. JamiiForums Tanzania Hili katazo la kutoa PhD kwa wanasiasa Ethipia lingeletwa Tanzania, akina Kiliba wangeogopa hata kuwajibu Gwajima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa agizo na mwongozo kwa vyuo ambavyo havitoi Shahada ya Uzamivu kuacha mara moja kutunuku shahada za heshima (Honorary Doctorate) kwa viongozi wa kisiasa nchini humo. Tovuti ya Birr Metrics imeripoti kuwa mwongozo huo umetiwa saini na Waziri wa Elimu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

    Salaam! 1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu. 2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi. 3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine. 4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli. 5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia alipokutana na Tundu Lissu mjini Brussels Ubelgiji mwaka 2022

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo, Mhe. Tundu Lissu, jijini Brussels, Ubelgiji, tarehe 16 Februari 2022. Tukio hili lilikuwa sehemu ya ziara ya Rais Samia barani Ulaya, na lilichukuliwa na wengi kama hatua muhimu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…