shule

  1. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho Walimu wakajua tunamdekeza...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ni akili ama matope ? Unasomesha mtoto shule za ada kubwa anaishia kuwa Winga , sababu wewe mzazi huna kampuni wala biashara yoyote ya kumrithisha

    Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi. Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mmomonyoko wa maadili shule ya Baobab, Mamlaka ziko kimya

    Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji. Hii shule inamilikiwa na nani? Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala kukemea huu upuuzi, kwa maana utajirudia tena hapo shuleni na una baraka za uongozi. Haya yamevuja...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Mseta ipangiwe matumizi mengine baada ya kufungwa tokea mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi

    Shule ya Msingi Mseta iliyopo wilaya ya Rombo Kata ya Kirwa Keni Kijiji cha Kirwa Imefungwa toka mwaka 2012 kwa kukosa wanafunzi, Shule hii ipo katika Mazingira mazuri na ina majengo ya fedha za Serikali mazuri na yanayofaa kutumika. Mimi kama mdau nimeona kama Shule ilifungwa kwa tatizo la...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kusomesha watoto boarding kama kuna shule nzuri za Day maeneo tunayoishi na mzazi / mlezi una muda wa kumfuatilia mtoto

    Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ? Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ? Binafsi nakumbuka nilisoma...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali itukumbuke Shule Kijiji cha Kakulungu (Tabora), hatuna shule ya Msingi wala Sekondari

    Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu. Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania Kusoma shule za gharama kuna faida nyingi sana kuliko hasara

    Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi. Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Division 1 ya point saba imepoteza hadhi, Shule kama Saint Francis wanafunzi "wote" wamenyoosha, nashauri kuanzishwe division 1 ya 6 na 1 ya 5

    Hii imekuwa too much sasa, hawa mabinti wa saint francis wanaifedhehesha Necta 😂 Division 1 ya saba kwao imekuwa kama kumpa samaka mtihani wa kuogelea, kila mwanafunzi anaibonda !! Shule imesha master mbinu ya kuwafanya wanafunzi wote wapate division 1 ya saba. Nashauri kuongezwe division za...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichogondua ni muhimu mzazi kuwa na Elimu ya sikolojia na malezi, watoto wengi wanaharibikia katika shule .

    Wakuu . Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana. Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko. Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala. Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja. Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda...
  12. JamiiForums Tanzania Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  13. JamiiForums Tanzania Likizo hii watoto wako wanafanya nini? Je, unawafundisha ujuzi wa maisha ya kila siku tofauti na shule?

    Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie. Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
  14. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

    Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Mshangao: Wanafunzi wa shule moja ya msingi wote wamechaguliwa secondari moja

    Leo nilikutana na bwana mdogo mmoja akaniomba nitazamie shule aliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza. Cha ajabu nikakuta wanafunzi wote 230+ wamechaguliwa kwenda secondary moja yani ni kama kuhamisha shule nzima kwend secondary moja. Je hii imenifanya nitafakari Sana namna selection...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

    Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Offa msimu wa krismass Mabegi ya watoto ya shule kwa 17,000 tu

    Njoo nikupe begi Imara kwa na quality ya juu kwa bei ya kufunga mwaka. Nicheki 0783973428 Nipo kariakoo Dar es salaam
  18. JamiiForums Tanzania Nimeshazichoka vurugu za watoto, bora shule zifunguliwe

    Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe. Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu. Bora warudi shule.
  19. JamiiForums Tanzania Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…