Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga.
Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
Anonymous
Thread
habari
ila
katika
kero
mwaka
sekondarishuleshuleyasekondari
una
wananchi
watoto
wenye
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya.
Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
Anonymous
Thread
hostel
katika
kidato
kidato cha nne
kisarawe
kulazimishwa
makurunge
mimi
mkoa
mwanafunzi
mzazi
pili
sekondarishuleshuleyasekondari
wanafunzi
Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa wanafikiria kujenga mabweni kwa shule za Sekondari...
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
Wadau wa maendeleo waishio nje ambao wanatoka katika kata ya Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe, wamekabidhi mfumo wa sola wenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule ya Sekondari Ilumaki ili nishati ya umeme ipatikane shuleni hapo muda wote
Sola hizo zimekabidhiwa Julai 24, 2025 na Dkt...
Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
Hatimaye ndoto ya kupata shule ya sekondari ndani ya kijiji cha Nyashimba(M)wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu inaanza kutimia! Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wazazi na walezi, wananchi wa kijiji hicho wameamua kuchukua hatua—kuanza ujenzi wa shule yao ya sekondari kwa kutumia michango ya...
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku.
Shule hii imeweka...
Anonymous
Thread
maisha
mkuu
mkuu wa shule
mwanza
saa
sekondarishuleshuleyasekondarishuleni
usiku
wanafunzi
Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Mheshimiwa Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini, atoe ahadi ya kugharamia chakula kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mwanzoli, hasa wale wa bweni waliopata ufaulu wa juu. Hadi leo, utekelezaji wa ahadi hiyo haujafanyika.
Ahadi hiyo ilipokewa kwa matumaini...
Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika.
Mavunde akizungumza baada ya...
habari wadau,
miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke.
katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule.
Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9.
Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa.
Akizungumza wakati wa...
Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela.
Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni 560.
Kwa kipindi kirefu wanafunzi wa kata hiyo, wamepitia mateso ya kutembea umbali umrefu kwenda...
Kama mmiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, nina wasiwasi kuhusu mabadiliko yanayokuja katika mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa la saba kuanzia mwaka 2027.
Hii inamaanisha kwamba wanafunzi wa kidato cha kwanza watakuwa wakitoka moja kwa moja kutoka darasa la sita, hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.