Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavor, ametoa ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu akisema uhai ni kwa mapenzi na rehema zake, si kwa ujanja wa binadamu. Katika ujumbe huo, amewaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa ajili ya ndugu wote waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani.
"Zamani nikiwa...