WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO)
▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO
▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
afrika
afya
duniani
jamhuri
jamhuri ya muungano
janabi
kanda
kutoka
mgombea
mkurugenzi
mkurugenzi mkuu
mkuu
mohammed
mohammed janabi
muungano
shirikashirika la afya
shirika la afya duniani
tanzania
uchaguzi
Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
Imani ya watu kwa Asasi za Kiraia imekuwa ikishuka siku hadi siku, si kwa Tanzania pekee, hata nje ya Tanzania. Tafiti iliyofanywa na Gallup and Wellcome mwaka 2022 inaonyesha kwamba asilimia 32 ya watu ulimwenguni wanakosa imani kwa Asasi za Kiraia nchini mwao. Sababu kubwa ya kushuka imani ya...
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China.
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class.
Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa kukamilika, inatarajiwa kuzalisha umeme kiwango cha Megawati 2115 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwezi Mei...
Bahati Nasibu ya Taifa inayo furaha kutangaza ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Posta Tanzania, wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa michezo ya kubahatisha kote nchini. Kupitia ushirikiano huu, majukwaa ya Bahati Nasibu ya Taifa yatapatikana katika ofisi 207 za Posta, hatua...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Wakuu,,
Hivi ni Mashirika gani au site gani zinazotoa ofa za training za Kilimo bure kwa muda mfupi, Iwe hapa Tanzania au nje ya nchi..
Nitashukuru sana nikijulishwa ili nijaribu kuomba kulingana na wakati uliopangwa kufanyika kwa mafunzo husika kulingana na Kila training/course.
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
Habarini wadau, nimeona leo kitu cha kushtua kidogo, Shirika la bima la Taifa (NIC) wameingia barabarani wakishirikiana na Traffic kukagua bima za vyombo vya moto.
Hili jambo linakaaje kwa watu binafsi wanaotoa huduma hiyo? Mbona ni kama biashara yao itakuwa ngumu!?
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450.
Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo.
Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
gharama
gharama nafuu
kupitia
kuunganisha
kuunganisha umeme
mamlaka
mwongozo
nafuu
shirikashirika la umeme
tanesco
tanzania
udhibiti
umeme
umeme tanzania
wananchi
Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege
Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea kuimarishwa kwa kuongeza idadi ya ndege hadi kufikia 16 na idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga...
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa ndege yetu ya Air Bus Airbus A220-300 ambayo imekuwa na hitilafu kwenye Injini zake.
Sababu hii...
Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Abdallah Chaurembo amesema Shirika la Posta kwasasa linadaiwa TSh. Bilioni 54.7 hivyo kushindwa kujiendeleza na pia shirika limeshindwa kukopesheka, tuimbe sana serikali kama ripoti yetu ilivyoeleza tunaomba serikali ilichukue deni hili ili shirika hili la posta sasa...
Afrika bhana matatizo yake yanafanana sana hawa shilika la umeme la Kenya michongo yao kama TANESCO tu.
Wapelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) wamemkamata mfanyakazi wa Kampuni ya Umeme ya Kenya (KPLC) kwa tuhuma za kudai Ksh.300,000 ili kuunganisha tena umeme...
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?
Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.
Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika.
Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...