shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    RC SHINYANGA: Tunamshukuru Rais Samia ametujengea chuo kikubwa cha VETA Bugarama kwa shilingi bilioni 3.5 kwa sasa hatuna deni nae

    |||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
  2. M

    RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

    TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA? Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025...
  3. M

    RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

    Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025) Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini...
  4. M

    RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne

    https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji...
  5. GE2025 Kamati ya ukaguzi TARURA yatembelea miradi minne ya barabara Shinyanga

    Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoani Shinyanga. Katika Manispaa ya Shinyanga Kamati ilitembelea ujenzi wa barabara ya Old...
  6. N

    Uhamie Katavi kwa mshahara wa milioni 2 au ubaki Dar mshahara milioni 1.2 ?

    Ni mishahara baada ya makato Ubaki DSM mshahara milioni 1.2 Uende Katavi mshahara milioni 2
  7. Nahitaji kufahamu kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
  8. DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  9. PreGE2025 Mtendaji Mkuu wa TANROADS afanya ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati

    Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
  10. R

    PreGE2025 Fadhili Salmon atia nia Ubunge Jimbo la Itwangi, Shinyanga

    Fadhili Salmon Nafutari, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Itwangi, Wilaya ya Shinyanga akiwa na msukumo wa kulijenga jimbo hilo kupitia rasilimali zake za asili na nguvu kazi ya wananchi, Fadhili Salmon Nafutari amechukua fomu mapema leo Juni 30, 2025 katika...
  11. W

    GE2025 Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo, Shinyanga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo. Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM Kata ya Ngokolo huko mkoani Shinyanga. Zoezi la uchukuaji fomu katika Chama Cha Mapinduzi CCM limeanza leo na watia nia mbalimbali...
  12. Shinyanga: Watu sita wafariki dunia kwa kufukiwa na kifusi mgodini 11 waokolea

    Wachimbaji sita wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa dhahabu uliopo katika Kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Mei 17, 2025 wakati wachimbaji hao walipokuwa wakiendelea na kazi katika mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na wawekezaji...
  13. Hawa kama sio vijana wa shinyanga basi ni kigoma

    Unakuta kijiji kizima kina mtindo mmoja wa nguo haswa siku za sikukuu ndio utajionea maajabu
  14. Aliyeiba milioni sita za Wakala wa Pesa Arusha akamatwa ndani ya kijiji kilichopo mkoa wa Shinyanga akiwa kwenye makazi ya mwanamke

    Kijana aliyeshutumiwa kwa kosa la kuiba milioni sita za mwajiri wake wa Wakala wa Pesa Arusha akamatwa ndani ya kijiji kilichopo mkoa wa Shinyanga akiwa kwenye makazi ya mwanamke baada ya kutafutwa kwa muda mrefu Mwajiri wake anadai kuwa lazima fedha hizo zilipwe kwa njia yeyote ile na...
  15. PreGE2025 Shinyanga: Viongozi 50 wa NCCR Mageuzi wahamia Alliance for Democratic Change (ADC)

    Viongozi 50 wa majimbo, wilaya na kata wa chama cha NCCR Mageuzi mkoa wa Shinyanga wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku wakiweka wazi sababu zilizowahamisha. Akizungumza mkoani Shinyanga wakati wa kuwapokea viongozi hao Mwenyekiti wa ADC Taifa, Shaban Itutu mbali na...
  16. Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU. Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
  17. Umeme wa jua kuongeza unafuu Shinyanga

    UMEME WA JUA KUONGEZA UNAFUU SHINYANGA Mradi wa umeme wa jua unatekelezwa katika Wilaya ya Kishapu Mkoani wa Shinyanga unaendelea ambapo kwa awamu ya kwanza mradi unatarajiwa kuzalisha Megawati 50 na baadae Megawati 100 kwa awamu ya pili zitakazoongezeka na kufanya jumla ya Megawati 150...
  18. PreGE2025 Viongozi wa Dini Shinyanga Wakemea Ukatili dhidi ya Watu wenye Ualbino Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi yahusishwa na imani za ushirikiana kwa dhana potofu ya kupata uongozi. Tamko hilo limetolewa na...
  19. Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  20. PreGE2025 Ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga wafikia asilimia 75 ukitarajiwa kukamilika Juni 10, 2025

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde amesema ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga umefikia asilimia 75 na utakamilika Juni 10, mwaka huu. Amesema kukamilika kwake kutawezesha ndege aina ya Bombadier Q400 kuanza kukitumia kiwanja hicho chenye urefu wa mita 2200 na upana wa mita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…