shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Kahama: Rais Magufuli amsamehe Mkurugenzi wa Halmashauri aliyenunua gari kinyume na utaratibu. Kahama yapandishwa hadhi kuwa Manispaa

    Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita barabarani watu wamejaa sana, hi ni ishara kwamba, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ni Rais wa watu lakini...
  2. J

    Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
  3. Shinyanga: Suma JKT waagizwa kuwachukulia hatua Walinzi wake waliompiga raia Hospitalini

    Mkuu wa wilaya Shinyanga, Jasinta Mboneko, ameuagiza uongozi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, kuwachukulia hatua kali za nidhamu walinzi waliohusika kwenye tukio la kumpiga mwananchi Daudi Lefi, aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa huo kumuhudumia mgonjwa. Agizo hilo amelitoa hii leo...
  4. Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

    Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo. Kwa mujibu wa maelezo ya Lydia anasema...
  5. Shinyanga: Muuguzi wa Zahanati na Mlinzi mbaroni kwa kuiba Dawa na kuziuza nyumbani huku zingine zikiwa zime-expire

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshilikilia sungusungu wa kijiji cha Nyamalogo Fedson Matekele na William Desdez (27) muuguzi wa zahanati ya Nyamalogo kwa kosa la wizi wa dawa za binadamu katika zahanati hiyo iliyopo katika kata ya Nyamalogo wilaya ya Shinyanga na kuziuza nyumbani. Kwa...
  6. Petra Diamonds yachunguza manyanyaso ya wachimbaji wadogo Shinyanga

    Petra Diamonds wanachunguza madai ya Shirika lisilo la kiserikali la Uingereza lililosema kuwa wachimbaji wadogo walioingia katika Mgodi wa Williamson waliwekwa kizuizini, wakapigwa na takriban watu saba walifariki. Ripoti hiyo ilioneshwa kwenye utafiti uliofanyika Septemba 2019 hadi Novemba...
  7. GE2020 Shinyanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:- Shinyanga Mjini - Patrobas...
  8. Shinyanga: Vijana 2 chini ya miaka 18 mbaroni kwa kumbaka mtoto wa miaka 6 kwa zamu

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia vijana wawili, wakazi wa mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita kwa zamu. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akitoa taarifa hiyo jana kwa vyombo vya habari, alisema tukio hilo lilitokea...
  9. GE2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

    Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura. Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika. ========= Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
  10. GE2020 Profesa Lipumba: Nichagueni niboreshe maslahi ya walimu

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA" SHINYANGA Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha...
  11. GE2020 Prof. Lipumba: Rais Magufuli ni mgombea Urais kama mimi na anasimama sehemu yoyote anasalimia na hazuiwi lakini mimi mnataka kunizuia

    RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA" KATA YA DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DIDIA, SHINYANGA VIJIJINI...
  12. GE2020 Profesa Lipumba akiwa Ushetu, Shinyanga: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais niunde serikali ya umoja wa kitaifa

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" USHETU, SHINYANGA. Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majerahay anayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
  13. GE2020 Prof.Lipumba akiwa Ushetu, Shinyanga: Nichagueni Oktoba 28, niwe Rais nitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" USHETU, SHINYANGA. Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini...
  14. GE2020 Prof. Lipumba kuunguruma leo wilayani Ushetu, Shinyanga

    PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO WILAYANI USHETU, SHINYANGA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba leo atawahutubia wananchi wa Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga. Prof. Lipumba atahutubia kata ya Idahina eneo la Mwabomba, Machimboni, kata ya Bulugwa saba...
  15. GE2020 Hali si hali: Katambi 'akataliwa' na 'kugomewa' Shinyanga Mjini, Masele aombwa kumsaidia. Ahaidiwa Ubalozi

    Hali ni tete kwa mgombea wetu wa CCM hapa katika Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi. Katambi ambaye alikataliwa na 'Wajumbe' wakati wa kura za maoni ndani ya CCM, alipitishwa 'kibabe' na Kamati Kuu na NEC ya CCM kule Dodoma. Katambi, katika kura za maoni, aliachwa mbali mno na aliyekuwa...
  16. Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
  17. GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
  18. GE2020 Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage Shinyanga: Dkt. Magufuli asema Miaka 5 haitoshi, mpimeni kwa miaka 10

    Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake. Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10 MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  19. GE2020 Akiwa Shinyanga Mjini Rais Magufuli anawataka Wananchi wasichague Mbunge wa Upinzani hata kama anafaa, kweli?

    Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu. Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…