Kuna jambo ambalo linatatiza akili yangu mpaka nahisi kuchanganikiwa
Kuna siku moja mwaka jana mimi na mke wangu tulikuwa tumelala ilikuwa mida ya saa tano usiku simu ya mke wangu iliita nikapokea kwasababu yeye alikuwa tayari kwenye usingizi mzito nikasubiri aliyepiga aongee nikaona kimia...
My people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya...
Salam Wadau!
Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo.
Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida.
Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya...
Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya dini, anategemewa hadi huku Afrika.
Mengi yataandikwa sana baada ya kilichofanywa na Israel juzi...
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.
Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
Uwekezaji na misaada tuliyopata hivi miaka ya karibuni ikiwa pamoja wa watalii kuongezeka ni kwasababu Raisi Samia alifanya mabadiliko na mwamko 2021-2022. Haya mabadiliko yalitoa mwanga wa siasa mpya na mazingira mazuri ya uwekezaji
Sasa badala ya kuendeleza mazuri kuanzia 2023 Raisi Samia na...
Mwenye ufahamu na aelewe.
Miaka ya nyuma katika nyumba uani kulikuwa kunachimbwa shimo la Taka. Hili ndo linakuwa sehemu kuu ya kutupia taka.
Sasa hali yetu ilivyo. Kuna shimo la Taka, halafu kuna takataka pembeni ya shimo la taka. Hizi hunuka sana kuchagiza taka zilizomo shimoni.
Takataka...
Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku.
Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka).
Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
Mtaani Kuna vituko sana sijui niseme ni uchu wa nyama ama ni sahihi.stori ipo hivi Kuna jamaa mfugaji mwenzangu yeye kuku wake alitumbukia kwenye shimo la choo Tena ni jogoo na alitumbukia akiwa mdogo basi ame survive kule ndani karibia miezi sita MPAka akaanza kuwika ndipo yule mwenye kuku...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka, linafanana na jalala lililoachwa wazi.
Kwa kuwa nilikuwa mgeni, nilidhani pengine ni sehemu...
Habari members,
Naomba kufahamu kias Cha material ya kufunika choo (slab),. Nilishachimba SHIMO la square Kwa vipimo vya futi 5 Kwa 5 na kimo ni futi 12. Hapa naomba kujua nondo ni ngapi, kokoto ndoo ndogo ngapi, na siment mifuko mingapi?
Na kama kunachochote kinahtajika naomba nifahamu ...
Machache lakini mazito
Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)
Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea.
Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7, naomba kufahamu Kwa ujazo huo je, inanipasa nichimbe shimo Kwa vipimo gani? (Yani nichimbe futi ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.