shikamoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni nini maana ya neno "Shikamoo"

    Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani. Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na...
  2. Nimepewa shikamoo na mwanamama umri kati ya miaka 38 na 45

    Loo! Dunia inakwenda kasi wakuu, Mwanamama kanitamkia kwa sauti, "Kaka shikamooo", watu wote niliokuwa nao karibu wakageuka kunitizama, wakapigwa na bumbuwazi, bila iyana nikaitikia, "Marhabaaa, ujambo!!?" akaitikia kwa kutikisa kichwa, akanitazama, kisha akaendelea na safari...
  3. Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  4. M

    Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  5. Shikamoo

    Shikamooni membaz wote wa Jamii Forums.
  6. A

    Tafakari na Kipanya: Mchungaji anaacha mifugo ijiongoze yenyewe

  7. Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

    Mh Rais, Kwasiku 100 ulizoongoza nchi zimekuwa za kutukuka sana, Taifa limepumua na kuonyesha mageuzi makubwa sana, Kwahakika nakupongeza sana sana, Umewathibitishia wazi unaweza kwa wale waliodhani huwezi kuongoza nchi. Jambo la msingi leo naomba kuzungumzia kikao chako cha jana, ambapo...
  8. Huwa unapotezeaje kumpa shikamoo mtu usiye kuwa na uhakika anastahili shikamoo?

    Poleni na kazi wakuu, Katika maofisi mbalimbali kunawatu mwonekano wao huwa na utata either mwili mdogo au umri wake hautabiliki kiasi cha kukufanya uwe njia panda kumpa shikamoo au la. Ila kuna watu wanapenda kuonekana wakubwa hata kama ni wadogo mfano watu wengi kutokea mkoa wa Mbeya. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…