shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtaa wa Karume Morogoro maji hayatoki kwa wiki ya pili sasa

    Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2. Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

    Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania. Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
  5. JamiiForums Tanzania Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani endapo moyo utakalia kulia?

    Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikitangaza dau anakataa eti yeye siyo malaya ajiuzi lakini kutwa analia shida

    Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nimetangaza dau la laki tatu na afya tunapima.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume shida huwa inakuwa nini?

    Dear sasa wanaume, mnachosha! Nilifanya mahojiano mahali ila ilikuwa ni ya binafsi, sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli. Swali la kwanza umeolewa hapana, kwa hiyo unaweza pelekwa popote? Naomba mnukuu hili, nikajibu ndiyo. Una miaka mingapi? Mh yakawaida, wakaandika...
  11. JamiiForums Tanzania Mmarekani kamfitini Ukraine, Ukraine kaona isiwe shida naye afitinisha. Je, ataweza?

    Salama wandugu, Mwanzo kabisa tuliona aliyeanza kufitinisha ni mmarekani kwa kumjaza kiburi zelesky na kuanza kuzozana na Putin. Mambo yalipoharibika zelesky akabaki pekee yake akiambulia kupewa vijisilaa vidogovidogo. Zelesky ameona isiwe shida njia anaijua ya kuwaingiza kwenye mgogoro ni...
  12. JamiiForums Tanzania Nilijua ni Mbs tu ndio wana shida nazo, Kumbe hadi huku

    Thread was deleted
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
  14. JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangala tena, huyu jamaa sijui shida nini

    Hii itakuwa kazi ya Hamis Kigwangala. Huyu ndiyo alimchonga mjomba wake akaja kutuambia ni Hayati Baba Wa Taifa J.K Nyerere. Alipoonesha watu kwa mara ya kwanza wakawa hawaelewi anawaonesha sanamu ya nani. Ndiyo mmoja mtu mzima mwana CCM kindaki toka miaka ya 70 akauliza hiyo sanamu ya nani...
  15. JamiiForums Tanzania Hakika niliwakumbuka sana!

    Habari za humu ndugu wana JamiiForums, Ninamshukuru Mungu kwakuwa hadi leo ni mzima, japo hapo siku chache nyuma nilipata ajali mbaya ambapo nilkuwa nikiendesha pikipiki, kwa bahati mbaya niliweza kukutana na lori japo lilinigonga kwa upande wa pembeni. Kikubwa cha kumshukuru Mungu pekee ni...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yoyote duniani corrupt lazima wananchi wake wapate shida

  17. JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania SHIDA YA MAJI: Maboza, matenki na visima vyawa dili Dar

    Nianze kwa kuipongeza DAWASA kwa kujitahidi sana kuhakikisha Dar ina maji, tukilinganisha na Dar ya zamani, kwenye suala la maji kwa sasa Dar walau ni nusu pepo. Kwa uwezo wao DAWASA wamejitahidi, wameathiriwa na kiangazi kikali sana mwaka huu, lakini pia ni vyema DAWASA wakajipanga zaidi jinsi...
  19. JamiiForums Tanzania Atakayeshinda ndiye atachukuliwa na mwanaume

  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Maskini hata siku ya Kufa utakuwa nayo ni Shida tu kwa wengine

    Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo" Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…