sheria

  1. JamiiForums Tanzania Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini kusiwe na Sheria lazimishi ya kuwaamru Tasisi za kifedha kututumia Hela?

    Siyo lazima Kila kitu kianzishwe na wazungu tu la hasha hata sisi tunaweza kukianzisha na Bado kikawa sawa. Chukulia mfano hizi taasisi za kifedha tunazichangia Kila siku iendayo Kwa Mungu mapesa mengi. Lakini ajabu hawarudishi fadhira Kwa wateja wao. Mfano Taasisi kama Crdb,Nmb,NBC, Dtb nk...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  4. JamiiForums Tanzania Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

    Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria ikoje rais akipata mental health problem na madaktari wakathibitisha itachukua muda mrefu kurudi kawaida au asirudi kabisa.

    Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi? Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe

    Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe. Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji ambao kwa vyanzo vya kuaminika vinafanywa na vyombo vya usalama vikiongozwa na samia havikubariki na...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali. Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za Uchaguzi Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, hawa wenzetu wanatumia nini ?

    Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ? Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa yupo sawa?.Kama X wanakiuka sheria za nchi kwa nini anaitumia kutolea taarifa?

    Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
  12. JamiiForums Tanzania TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Chawa limetii shuruti badala ya sheria

    Soma mwenyewe hapa chini:-
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili

    watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
  15. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  16. JamiiForums Tanzania Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Kesi ya Mange siyo halali ni kinyume na sheria

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana kwamba siyo halali akibainisha sheria ya uhujumu uchumi sura ya 200 huwezi kumshataki mtu ambaye...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Askari anaruhusiwa shoot to kill bila kupokea order yoyote kwa mujibu wa sheria ya Tanzania na za UN

    Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
  20. JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…