sheria

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili

    Najua kwa sasa hoja na habari kuu ni "Mauaji ya Asimwe" na nitakuja kusema kuhusu hili, lakini kwa vile sikupata fursa ya kutoa maoni yangu kuhusu suala la DC Ubungo kukamata watu na kuwaweka ndani kwa kosa la "kufanya ukahaba", tena kwenye siku ya siku kuu huku akiagiza mara baada ya siku kuu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Haki: Manyerere Aachiwe Mara Moja - Katiba na Sheria Zinaunga Mkono Wito Huu

    Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same, Kumradhi, Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Wanaofunga barabara ili kuabudu wako juu ya sheria?

    Wakuu habarini! Leo mchana nilikuwa Kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani. Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwamba mtaa husiku umefungwa, mtu unatembea mpaka katikati ya mtaa then unakuta kamba, ukizunguka mtaa mwingine unakuta watu wako...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kujitenga (self exclusion) kwenye makampuni ya kubashiri iwe kwa mujibu wa sheria

    Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa huduma bali itengenezewe sheria na kuwa ya lazima. Katika nchi duniani huduma hii inasimamiwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje?

    Hi. Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri. Naomba kueleweshwa yafuatayo: 1)Name in print inaandikwaje? 2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje? Natanguliza shukrani🙏🙏
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe

    Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wazalendo kwa hali iliyopo ya uhuru uliopitiliza itachukua miaka mingi nchi yetu kupata maendeleo Kwa maslahi mapana na maendeleo ya nchi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwani sheria inasemaje?

    Wakuu kwema! Kwani sheria inasemaje mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Mimi najua ni kosa la jinai Mbona mama anasema “fanyianeni wakubwa kwa wakubwa” Lucas Embu muite Kafulila na Steven Nyerere watupe majibu Lucas Mwashambwa kwanini mama anataka kupingana na katiba? Au alikuwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliyo bora: Tunahitaji sheria bora, inayosimamia na kuwajibisha

    Ili kujenga taifa tulitakalo na kufikia ndoto za wengi, ni lazima tukabiliane na matatizo yaliyomo ndani ya nchi yetu kwa kuboresha na kusimamia sheria. 1. Uwajibikaji wa viongozi katika kusimamia rasilimali za umma pamoja na uongozi. 2. Kuundwe sheria, au kuwe na utekelezaji wa sheria...
  11. JamiiForums Tanzania CCM kujiona wako juu ya sheria kunafanya makada wake wafanye jinai bila hofu

    Tukio la Kutenguliwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Alhaji Dr. Yahaya Nawanda baada ya tuhuma za kulawiti binti mwenye umri wa miaka 21 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kwenye maegesho ya THE CASK BAR ni moja Kati ya matukio mengi yanayofanaywa na viongozi wateule wa Rais Kwa kutegemea kinga ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya tume huru ya uchaguzi

    Bunge lilipitisha sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na kupitisha kuwa kutakuwa na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi. Mbona mpaka leo bado wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ndiyo bado wako ofisini na wanaendelea na majukumu kama kawaida licha ya Sheria ya Tume Huru Kupitishwa na Bunge. Naomba...
  13. JamiiForums Tanzania Waislam nyie wenyewe sheria zenu ngumu kuzitekeleza hivyo msiwe na misimamo sana legezeni tu

    Hii Dunia ya sasa mfumo umeegemea tu kwenye tamaduni za west mitandao na utandawazi hamuwezi kuepuka sana kwa sababu waislam wengi tu wanazivunja sheria mlizowekeana wenyewe halafu zinatokea vikundi eti jihadi kupigania dini ya mwenyezi wakati watu wenu wenyewe mambo mengi Kwa mfano wasanii wa...
  14. JamiiForums Tanzania Sakata la Mtoto kulawitiwa na Watoto wenzake Arusha:Je sheria inasemaje ?

    Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Sote ni mashahidi wa kile kilichoonekana tarehe 10 Mei wakati wa Kliniki ya Haki iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  16. JamiiForums Tanzania Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi. Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  18. JamiiForums Tanzania Sheria ya Ardhi inahitaji marekebisho?

    Inasemekana: Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99. Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote nchini. Sijui itakuwaje pale Serikali itakapoitamani ardhi iliyokupangisha! Sijui itakupokonya! Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mafufu: sheria ya ndoa ibadilishwe katika vipengele vya ugawanaji wa mali baada ya talaka

    Hoja ya kubadilisha sheria ya ndoa, hasa kwenye vipengele vya ugawanyaji wa mali baada ya talaka, ni mjadala unaoweza kuibua hisia tofauti na mitazamo mingi. Katika jamii yetu, ndoa ni taasisi muhimu inayoheshimiwa na sheria zetu. Hata hivyo, pale ndoa inapovunjika, suala la ugawanyaji wa mali...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

    Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja kwao kuwa mimi ndiye mhusika. Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…