sheria

  1. JamiiForums Tanzania Sheria ingeruhusu, Olympic ijayo ningejipeleka, kumbe kuna hadi mashindano ya kutembea

    Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30. Hadi kutembea ulikuwepo Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000, Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 baada ya Mama Samia kushinda uchaguzi, unapendekeza nani awe Waziri wa Sheria?

    Kati ya manguli hawa wawili wa sheria, unapendekeza Samia amuweke nani pale Wizara ya Sheria?
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uvunjifu mkubwa wa Sheria za Mazingira na Makazi Misugusugu, Kibaha - Pwani

    Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses ya miwa. Tatizo linakuja, kiwanda kimejengwa ubavu kwa ubavu na makazi, kuna shule mpya ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

    Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA. Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  10. JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kwenye sheria za ndoa ili kuwapa motisha vijana wafunge ndoa (sio kuoa) kwa wingi zaidi?

    Mwanasheria anasema, kuoa na kufunga ndoa ni vitu viwili tofauti, binafsi yake hapendelei kufunga ndoa sababu ya ‘repercussions’ endapo mtagombana. Anasema ni bora uwe na ‘X’ kuliko kuwa na ‘Mtalaka / Mtaliki’. ===========================...
  11. JamiiForums Tanzania Leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra

    Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa. Nilikuwa sijui kama ndio hivyo. Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu kabisa wanaosubiria kuvuka basi nikaendelea kuendesha mbele ndio nakutana na trafic akanissimamisha...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Clouds Media Imevunja Sheria kwa Kuonyesha Simba na SportPesa Pamoja?

    Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa. Kitendo cha Clouds kupost picha huku ikionyesha timu zote mbili zinadhaminiwa na Sportpesa kitu ambacho sio...
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya Sheria yawaita Wananchi wenye changamoto za Kisheria waliopo Dodoma kwenda NaneNane

    Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma. Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
  14. JamiiForums Tanzania Zijue Sheria 12 za ajabu ajabu zilizowekwa kisheria katika nchi mbalimbali Duniani

    1) MARUFUKU KUTAFUNA BABLISH/BIG-G UWAPO SINGAPORE Singapore ilipiga marufuku vitu vyote vinavyofanana na big-g mwaka 1992. Yeyote atakayeingiza bidhaa hii kutoka nje ya nchi, atakayeuza au kutengeneza atakutana na kisheria iwe kulipa faini au kutumikia jela. 2) HUTAKIWI KUWAPA CHOCHOTE NJIWA...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi ya LHRC imepotea sana kwenye ramani?

    Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya kitaifa, mara ya mwisho niliwasikia wanampa karipio Oscar Oscar wa Kaliua kuhusiana na memes zake...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi imekwisha sainiwa?

    Katika kikao cha Bunge kilichomalizika hivi karibuni walitunga sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi. Je sheria hiyo imekwishasainiwa na Mhe. Rais?.
  17. JamiiForums Tanzania Uongo Uongo: Anguko la 'Credibility' Yanga

    Ni habari gani sasa unaweza kuipokea mikono miwili kutoka Yanga? Nje ya nje uliyoishuhudia mwenyewe? Hii haijaanza leo, ila sikutegemea kama ingeendelea hadi leo. Taasisi yeyote kuwa katika midomo ya watu ni jambo bora sana. Ni miaka mingi imepita sasa tuliaminishwa kuwa ' There is no such...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lini Sheria Ngowi utaacha kuchora vikatuni na makorokoro katika jezi za Yanga? Jezi za Yanga ni mbaya balaa.

    Salam. Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi! Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na Vyama vya Wafanyakazi

    Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi. Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu au chama kilicbokata pesa ya Mtumishi bila idhini yake?
  20. JamiiForums Tanzania Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

    Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo i/ legal research and writing skills, ii/...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…