sheria

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wajuvi wa sheria

    Ile form ya District Land and Housing Tribunal ya kufanya application to institute a suit, unawea kuijaza kwa kiswahili au lazima iwe kiingereza maana imetengeneza kwa kugha ya kiingereza.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Kufanya Marekebisho ya Sheria za Barabarani Ili Kukabiliana Ipasavyo na Ajali za Barabarani

    Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee; Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo amesema Serikali iko hatua za mwishoni kuleta Muswada wa Sheria Bungeni ili ifanyiwe marekebisho kwa lengo la kukabiliana na ajali za Barabarani zinazosababishwa na...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hapa BONGO kuna zaidi ya uchafu wa Equatorial Guinea. Ni vile tu sheria haziruhusu kuweka video za ngono mitandaoni

    Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400. Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali na huwazuia watu kuposti video za ngono mitandaoni. Vinginevyo tungeona machafu zaidi ya hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Washiriki wa Mapenzi ya Jinsia Moja kufikishwa Mahakamani, Serikali Yajipanga Kusimamia Sheria

    Serikali imeahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili kukomesha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja ambavyo vinakiuka sheria, taratibu, mila na desturi pamoja na kuwakamata wanaojihusisha, sambamba na kuchukua hatua za kuwapeleka Mahakamani Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Zingatieni Sheria: Balozi Amour

    WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI ZINGATIENI SHERIA: BALOZI AMOUR Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora, salama yasiyoathiri mazingira...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Amour: Wabunifu majengo na Wakadiriaji Majenzi zingatieni sheria

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za utendaji kazi ili kupata majengo bora, salama yasiyoathiri mazingira na yanayoendana na thamani halisi ya fedha. Akizungumza Oktoba 30, 2024...
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria tatu za kutumiana Meseji

    Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi wako ana utaratibu wa kujibu meseji ni sawa hapo unaweza kuendelea kumtumia meseji lakini huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wa Sheria Nisaidieni kwenye hii ndoa ya Dada angu

    Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna. Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea mahali dada angu tumejaribu kufwatilia kama family bwana shemej anapiga Kona Kona nyingi sana , Hilo la...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi mkuu 2025: Sheria iruhusu kurudia uhesabuji wa kura inapotokea utata

    Mchakato wa uchaguzi wa viongozi hua ni mgumu na mrefu na hivyo huruhusu makosa ya kibinadamu na kimfumo na kiteknolojia kutokea katika mchakato huo. Tatizo kubwa Afrika ni Kutokukubali matokeo ya mwisho kwa washiriki wa uchaguzi na katika nchi nyingi kushindwa kupinga matokeo mahakamani kwani...
  13. JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  16. JamiiForums Tanzania Wasichana wa Kitanzania 94 waliokuwa wanaishi kinyume cha Sheria India warejeshwa Nchini

    Jumla ya Wahanga 94 wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu wamerudishwa nchini kutokea India huku Serikali ikitoa wito kwa watu wanaotaka kwenda kufanya kazi nje ya nchi kufuata taratibu ikiwemo kufahamu kampuni wanazoendea kufanyia kazi kama zimesajiliwa kisheria. Hayo yamesemwa na Afisa...
  17. JamiiForums Tanzania LHRC: Tanzania imeshuhudia utekelezaji wa Sheria kandamizi zinazominya uhuru wa Vyombo vya Habari

    Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utetezi wa haki za wanawake, watoto, watu wenye ulemavu, na makundi mengine ya kijamii...
  18. JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Dkt Shoo: Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi ni muhimu kwa Maendeleo ya Nchi

    Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya chaguzi nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa kuwasilisha maoni ya CCT kuhusu miswada mbalimbali, Dk. Shoo alieleza kuwa mabadiliko haya ni muhimu...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kumili bastola sheria zake zipoje kwa hapa Tanzania?

    Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao. Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…