sheria inasemaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Konseli Mkuu Andrew

    Sheria inasemaje pale mtu anapokutwa na hatia?

    Salaam Wakuu, Niende kwenye maada tajwa hapo juu. Nafahamu kwa sheria za Tanzania Mahakama ndiyo imepewa mamlaka ya kumkuta mtuhumiwa na hatia na si chombo kingine.Swali langu ni kuwa Mahakama baada ya kumpa kifungo huyo aliyekuwa mtuhumiwa kuna namna yoyote na kutunza mali anazoziacha kama...
  2. T

    Rais Samia: nataka itumike "Single Source." Je, "Force Account" za JPM na "Zabuni Shindanishi" za JK zimeishia wapi? Sheria ya manunuzi imefutwa?

    Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia. Swali langu lina sehemu mbili tatu: hivi taratibu za matumizi ya...
  3. kikiboxer

    Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  4. Mwakitombeo

    Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

    Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
  5. REJESHO HURU

    Sheria inasemaje ukifanya maamuzi ya kuuza Mali bila mshirikisha mweza wako au familia

    Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro. Kutokana na changamoto za hapa na pale unaenda chukua hati unauza lile shamba bila mshirikisha mumeo au mkeo baada ya...
  6. Pastory Kimaryo

    Zipi taratibu za kufuata kisheria katika kumiliki kiwanja, shamba na nyumba

    Habari wana JF, Nahitaji kujua kama kuna mtu ana kiwanja anataka kuniuzia natakiwa nifuate taratibu gani kisheria ili nisije kugubudhiwa baadae, kwa vijijini taratibu zikoje na kwa mijin taratibu zikoje pia nikitaka kununua shamba nifuate taratibu zipi ili hilo shamba liwe mali yangu halali...
  7. Blood of Jesus

    Sheria inasemaje kuhusu mtu aliyekamatwa akiuza nyama ya mbwa?

    Mtu amekamatwa akiuza nyama ya mbwa (wamemchinja mbwa wakaandaa mishikaki wakawa wanauza, na nyingine wakauza kwenye supu). Watu hawa watashitakiwa kwa kosa gani? na ni sheria gani chini ya kifungu gani. Msaada please!
Back
Top Bottom