sherehe za uhuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Swali la kufikirisha: Inakuwaje Samia anaona Sherehe za kuzaliwa kwake ni za lazima kuliko Sherehe za Uhuru wa Tanganyika?

    Watanganyika bila kuamka huyu bibi amedhamiria kuifuta Tanganyika ipotee kabisa au atuachie migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe: Soma comment ya mdau:
  2. Genius Man

    Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu

    Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu na wanauwana kwa risasi na kutekana kwasababu ya mtu mmoja kweli shetani kazini. Haya yote yameletwa na tamaa za madaraka za Samia
  3. Mshana Jr

    PostGE2025 Ni hekima kufuta sherehe za uhuru lakini sababu zinachekesha na zina walakini mkubwa

    Hili nililiona mapema kabisa hata kabla ya uchafuzi mkuu wa OCTOBER 29 2025 Katika mkanganyiko wa kupoteza madaraka ccm wakafanya waliyofanya na matokeo yake yakaonekana wazi dunia nzima Kwa namna yoyote ile baada ya maandamano yale yaliyopelekea uharinifu wa mali mauaji ya kutisha, ukatili...
  4. N

    PostGE2025 Wakili Peter Madeleka amshtaki Rais Samia kwa kufuta sherehe za uhuru wa Tanganyika, Desemba 9

    Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma. Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Sherehe za Uhuru za Desemba 9 kwa mwaka huu zisiwepo na fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho hayo, zitumike kukarabati miundombinu iliyoharibiwa wakati wa vurugu za baada ya uchaguzi. Mwigulu ameyasema hayo...
  6. N

    sio tu sherehe za uhuru haitofanyika bali Christmas na mwaka mpya hazitakuwepo wala nywi nywi sasa kama wananchi wamesema unabisha

    Sio tu sherehe za uhuru haitofanyika bali Christmas na mwaka mpya hazitakuwepo wala nywi nywi sasa kama wananchi wamesema unabisha.
  7. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Serikali ya Rais Samia kuondoa sherehe za uhuru wa Tanganyika 9 December sio sahihi hata kidogo

    Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile. Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya Tanganyika kupata uhuru ni dhahiri kuwa unawanyima uhuru watanganyika kusherehekea sikukuu/uhuru wao...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Sherehe za Uhuru hazipaswi Kufutwa. siku ya Uhuru ndio msingi Mkuu wa Taifa

    SHEREHE ZA UHURU HAZIPASWI KUFUTWA. SIKU YA UHURU NDIO MSINGI MKUU WA TAIFA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni makosa makubwa na yakimkakati kufuta SHEREHE za Uhuru. Viongozi lazima waelewe siku ya Uhuru ni siku kubwa kuliko sikukuu yoyote Ile ndani ya taifa. Ni afadhali zifutwe SHEREHE...
  9. S

    Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Babati: Taasisi ambazo hazijashiriki Sherehe ya Miaka 63 ya Uhuru kuandika barua ya maelezo

    Wakuu, Makubwa! ==== Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania, zilizofanyika leo mkoani Manyara kuwasilisha maelezo ya maandishi yakieleza sababu za kutokushiriki. Ametoa...
  11. Kididimo

    Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

    Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa. Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea? Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
  12. Msanii

    Samia ana hadhi na haki kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania 2024

    Bendera yetu halisi. Ndugu zangu. Maamuzi ya Rais Samia kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania ni sahihi kwa wakati huu tunapoelekea kupata katiba mpya na bora. Tanzania haikupata uhuru wake Desemba 9, 1961. Bali nchi ya Tanganyika ndiyo inayosherehekea Uhuru wake siku hiyo. Nyerere na wenzake...
  13. BLACK MOVEMENT

    Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  14. Waufukweni

    Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  15. Analogia Malenga

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  16. benzemah

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru wa Zambia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano. Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
  17. Mhaya

    Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  18. NetMaster

    Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  19. Carlos The Jackal

    Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

    Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU? Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO? Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
  20. C

    Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
Back
Top Bottom