sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Kazi ya Rais Samia ni kubwa, jukumu letu ni kumuombea, sio kumzodoa na kumpinga

    Makamu Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania kupitia Jumuiya ya Maridhiano Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Mohammed Abdallah Mawinda amesema "Kwa kazi anayoifanya Rais Samia, jukumu letu ni kumuombea dua ili aone tupo pamoja naye, sio kumpiga vita, kumpinga au kuzodoa" "Urais kazi ndugu...
  2. JamiiForums Tanzania Sakata la Sheikh Nkokoo kujiteka: Taasisi ya The Islamic Foundation nayo yathibitisha alikuwa anakwepa madeni, yalipongeza jeshi la polisi

    Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka. Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ameeingia ktk 18 za CCM

    Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke. Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm. Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania. Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
  5. JamiiForums Tanzania Jamani kwani Sheikh Yahaya alisema yule Rais mwanamke atahudumu kwa muda gani!?

    Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi" Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi: Sheikh Zuberi Hakutekwa Alikimbia Madeni, Akamatwa Kufikishwa Mahakamani

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa. Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
  7. JamiiForums Tanzania Sheikh Kassim Mafuta amkumbuka kanali Muammar Gadafi

    Assalaamu a'laykum. Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la waarabu " ( Rabiiu'l Arab ) ikiwa pamoja na tukio la mapinduzi kisha mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh Kassim Mafuta awaasa Waislamu kuilinda amani ya Nchi

    Sheikh Kassim Mafuta awaasa waislamu kuilinda amani ya nchi. Waislamu nchini wameaswa kuilinda amani ya nchi na kuwakataa wale wote wanaohamasisha fikra za uvunjifu wa amani kwa sababu na visingizio vyovyote sawasawa watu hao watakuwa viongozi wa dini au viongozi wa kisiasa. Hayo yamebainishwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Gwajima alipoongelea kuhusu utekaji alishambuliwa sana, walikerwa kuelezwa masuala hayo

    Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke. ==== Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
  10. C

    JamiiForums Tanzania CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

    Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja.. Uzi tayari
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Familia yathibitisha kutekwa kwa Sheikh Nkokoo, suala la kupaza sauti juu ya utekaji sio hoja ya udini ndugu Waislamu

    Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee. Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
  12. JamiiForums Tanzania Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ninamsikitikia Sheikh Ponda

    Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi. Ijapokuwa ni haki yake lakini hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa. Atafuata slogan za ACT rasmi Hana uwezo tena kujitambulisha kama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh hatakiwi kuivaa siasa

    Sheikh hatakiwi kuivaa siasa. Ukimuona sheikh anaivaa siasa mwisho wake huwa mbaya huangukia kuwa chawa wanasiasa kama sheikh Ponda hivi sasa na heshima kwa jamii hushuka. Tumuangalie Mtume Muhammad (SAW) alikuwa kiongozi wa kisiasa katika muktadha wa jamii ya wakati wake. Alikuwa: .1...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Sheria ni kinga ya Haki za Binadamu, si chombo vya kutesa Wananchi

    Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

    Sikiliza, kweli bado yuko hai? Anaesema mwanamke hapashwi kuwa Rais!
  18. JamiiForums Tanzania Farid Hadi asema "Bila Shaka Sheikh Jabir amedhulumiwa kifo chake ni funzo kwetu tuzingatie sana", atuma ujumbe kwa Rais

    Chanzo: Zanzibar Today Sheikh Jabir Haidar Pia Soma ~ Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili ~ Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

    "Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

    Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama. "Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…