Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Hemed Jalala, amewatakia Watanzania wote, hususan waumini wa dini ya Kikristo, heri ya Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa duniani kote kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao, Yesu Kristo.
Akizungumza katika salamu zake za sikukuu kwa mwaka...