sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa katika makaburi ya Nyang’andu kivule jijini Dar

    Shura ya Maimamu Tanzania MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya Nyang’andu kivule frema kumi jijini Dar es Salaam. Sheikh Ulatule alikua gerezani kwa miaka 9...
  2. JamiiForums Tanzania Sheikh: Uchawi umeletwa na Allah, ukiutumia vizuri sio dhambi

    https://www.youtube.com/watch?v=3_umentdZoo
  3. JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo

    https://youtu.be/v4f9Y3QKpak?si=ZVDx2ZELIucxRASJ
  4. JamiiForums Tanzania Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

    Pierre Liquid ni mtu aliyejizolea umaarufu miaka miwili mitatu ya nyuma kwa mambo makuu matatu, kwa mtazamo wangu. La kwanza ni ulevi wake, la pili ni vichekesho vyake na la tatu ni mapenzi yake kwa watu. Nitayafafanuwa zaidi post zifatazo, kwanza tushuhudie alivyosilimu:
  5. JamiiForums Tanzania Video : Sheikh Sule Majin wanafundishwa Uislamu Msikitini

    Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mohammed Said

    https://youtu.be/ODb5a7s6j4s?t=5 Hazina kubwa kwa taifa
  7. JamiiForums Tanzania Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  9. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Maisha ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    KITABU CHA HISTORIA YA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR (1880 - 1979) Sijapatapo kuandika chochote kuhusu Sheikh Hassan bin Ameir nikaacha kulengwalengwa na machozi. Hamu kubwa ya Sheikh Hassan bin Ameir ilikuwa kujenga Chuo Kikuu Cha Waislam. Hili halikutokea. EAMWS iliyochukua jukumu la...
  10. JamiiForums Tanzania Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
  11. JamiiForums Tanzania Sheikh Firdaus Sharifu aanza kutoa mafuta ya Upako

    Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na mzee wangu Mohamed Said mnavyo furahia neema hii toka kwa Allah.
  12. JamiiForums Tanzania Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  13. JamiiForums Tanzania Huyu sheikh yu wapi kwa sasa?

    Ivi huyu sheikh alipoteleaga wapi,nimesikiliza clip yake akituhusia sisi matajiri, Tafadhali wakristo huu uzi sio wa matusi nimeuliza tu kwa anaejua
  14. JamiiForums Tanzania Naim Qassem akataa kuongoza Hezbollah na ajiuzulu, Sheikh Ibrahim Amin naye akataa Uteuzi kuongoza Hezbollah

    Mambo yamekorogana. Wayazuni walaaniwe kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Suleiman Abdulrahman bin Sheikh Suleiman Takadir Mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir

    SULEIMAN ABDULRAHMAN SULEIMAN TAKADIR MJUKUU WA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR Mchana leo nimepokea simu aliyenipigia akajitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibari anapiga simu kutoka Zanzibar na jina lake ni Suleiman Abdulrahman Suleiman Takadir, mjukuu wa Sheikh Suleiman Takadir, Mwenyekiti wa Baraza la...
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

    Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa. Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

    Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi. #Nchi Kwanza😍 #Uwe na uchungu na nchi yako 😍
  18. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Ahoji Uhalali wa Serikali: Vitendo vya Mauaji na Utekaji vinavyokithiri nchini. Watu wanauawa, Wanatekwa. Maisha ya Kinyama

    Siongezi wala sipunguzi. Sikilizeni kabla mods hawa delete huu uzi. Sheikh Ponda Issa Ponda ameibuka na kuonyesha kukerwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea nchini. Katika maelezo yake, Sheikh Ponda amehoji uhalali wa serikali, akisema kuwa vitendo hivi vinaathiri usalama wa raia...
  19. JamiiForums Tanzania ''Uhuru wa Tanganyika Umepatikana Kwa Dua'' Sheikh Iddi Chaurembo Maulid ya Mfungo Sita Msikiti wa Mtoro Mwinyi Mangara

    https://youtu.be/xqip_zI7S04?si=6fp94bVbh-y6kq1_ DUA SHAMBANI KWA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAUREMBO 1956 Dua hii iliongozwa na Sheikh Suleiman Takadir aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU. Waliokaa chini kutoka kulia: 1 Sheikh Hussen Mbegu 2... 3 Ania S. Chaurembo 4. Mohd I. Chaurembo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

    Ndugu Masheikh Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba. NIANZE NA SULE Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…