Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E
imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...
- Asema Msimamo wa BAKWATA si wa waislamu wote
- Pamoja na mambo mengine, Sheikh Ponda ameshangazwa na Rais kuipongeza Tume ya Uchaguzi kwa uchaguzi ulioonekana wazi haukuwa huru wala wa haki.
- Asema kwa alichokisikia kwenye Hotuba ya Rais (akizindua Bunge la 13), haoni dhamira ya kweli ya...
Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuongoza wananchi wa jimbo hilo, atahakikisha mfumo wa elimu unapewa uangalizi bora na unafanya kazi vizuri
Akizungumza Oktoba 4,2025 kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika...
Mgombea ubunge wa Temeke kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewa-omba wakazi wa Temeke kumchagua kuwa mbunge wao ili kuweza kuwakilisha kero zao bungeni, ka-ma alivyowahi kufanya kwa wananchi wa Mtwara wakati wa mgogoro wa gesi na mambo yakawa sawa.
Sheikh Ponda amesema...
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanasiasa wengi hawapendi viongozi wa dini kushiriki katika masuala ya siasa kwa sababu wanaamini hatua hiyo inaweza kuathiri maslahi yao binafsi.
“Wanasiasa wanaamini kwamba wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upinzani...
Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli .
Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza.
Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika maeneo yaliyo na Idadi kubwa ya Uislam.
Ukisikiliza Speech za Sheikh Ponda tangu ajiunge na ACT ...
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu
Mpendwa Sheikh Ponda,
Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anatarajia kuchukuwa fomu ya kukombea ubunge na atawania nafasi hiyo katika jimbo la Temeke.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana Juni 23, 2025 kwa umma na ACT Wazalendo, Sheikh Ponda atachukua fomu saa tano asubuhi...
Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke.
====
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa
Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi.
Ijapokuwa ni haki yake lakini hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafuata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama...
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema;
"Mwezi Oktoba mwaka huu nchi yetu inatarajia kufanya uchaguzi mkuu, katika kulizungumzia jambo hilo nyeti tumeona ni vyema tukayarejea maneno muhimu tulioyatoa katika Baraza la Eid lililopita Machi 31, 2025 ya kwamba...
Katika mambo ambayo Mbowe alifanikiwa, ni kuvutia watu wenye heshima kubwa sana ndani ya CHADEMA. Lakini hivi karibuni wana CHADEMA wamegeuka watu wa matusi mazito ya nguoni.
Hii imekimniza watu muhimu sana katika chama hicho ambao wangesaidia kukijenga.
Sheikh Ponda kaondoka na kundi kubwa...
Kwa miaka yote ya maisha yako sijawahi kukusikia au kukuona unajiunga na chama cha siasa. Nilikuona ukitumia jukwaa la CHADEMA lkn hukujitambulisha kama mwanaCHADEMA wala kuvaa gwanda la CHADEMA, ulitumia jukwaa la CHADEMA lkn sijawahi kukuona ukishiriki vikao vya CHADEMA.
Lakini hivi sasa ni...
Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.