shahidi

Shahidi (Persian: شهیدی‎) is a common surname in Iran, Afghanistan and Tajikistan. Like the given name Shahid, it is a Muslim theophoric name, from Aš-Šāhid (الشهيد), one of the 99 names of God in the Qur'an.
It is derived from šāhid شاهد, the Arabic word for "witness" or "martyr".

View More On Wikipedia.org
  1. Tundusami

    Punyeto haimalizi nguvu za kiume mimi ni shahidi.

    Nimepiga puchu tangu nikiwa na miaka 11 leo nina miaka 44 lakini bado nipo ngangari kitandani.msidanganywe na wauza madawa mkapotezq ela zenu bule.
  2. Manyanza

    Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

    Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi? Akaandika Malisa Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
  3. Q

    Kifungu 308 cha CPA anachotumia Katunga kinahusu SHAHIDI MPYA siyo USHAHIDI MPYA

    Kifungu cha 308 (Additional Witnesses for Prosecution Act) cha CPA (Criminal Procedure Act), kama kinavyosomeka hapo chini kinahusu Shahidi Mpya (Additional Witness) na sio Ushahidi Mpya (Additional Evidence). Kinahusu shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambaye maelezo yake...
  4. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
  5. A

    Kusema Shahidi hajui Kiingereza ni kuizalilisha elimu yetu.

    Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka. Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya...
  6. Roving Journalist

    Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukatwe govi bila ngazi au uwe shahidi kwenye kesi ya Lissu ya uhaini. Kipi utachagua?

    Wakuu sikuwahi fikiria kama ushahidi ni kazi namna hii hasa ukiwa ushahidi wa mchongo. Mara 100 nikatwe govi langu kwa shoka tena bila ngazi kuliko kuwa shahidi upande wa mashitaka kesi ya Lissu. Asee naona hali si hali huko kwenye kizimba. Tangu mwanzo wakiwa Live hao police ilionekana wana...
  8. Genius Man

    Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiwa uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho

    Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiw uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho.
  9. R

    Lisu kiboka: sikiliza ujasiri wa kuongea na shahidi/ impeachment

    Mhe. Lissu: Wewe sio mtaalamu wa Chochote ndio maana ni Koplo wa polisi. Ungekuwa mtaalamu usingekuwa Koplo
  10. M

    Shahidi wa kupangwa hakubaliki katika uislam

    Katika Uislamu, kupanga au kuandaa shahidi wa uongo kwa makusudi ili kumkandamiza au kumuadhibu mtu mwingine ni dhambi kubwa sana (kabira) na ni aina ya dhulma (udhalimu). 1. Hukumu ya Shahidi wa Uongo Qur’ani Qur’ani Tukufu inakataza vikali ushahidi wa uongo: Surah Al-Hajj (22:30) –...
  11. Genius Man

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  12. H

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  13. Q

    Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

    Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa. Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
  14. C

    Lissu aendelea kummbana shahidi mahakamani -16.10.2025

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 16, 2025 Jana tuliishia part 105 so leo tunaendelea na-; Part 106 Muda huu ni saa tatu asubuhi. Tumefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Hali ya Mahakama ni nzuri. Tunawashuhudia Waandishi wakichukua picha mgando na mnato...
  15. ngara23

    Shahidi kesi ya Lissu asema ana degree ya Refrigerator ana air conditioner

    Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge Police mbona mnaajiri mabunda. Sasa Kwa jitu ujinga kama hili mtashinda kesi Gani?
  16. MamaSamia2025

    Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

    Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea...
  17. Bams

    Hakuna Shahidi Anayeweza Kutoa Ushahidi Kwa Kificho Halafu Asijulikane Milele

    Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki. Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa. Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta...
  18. Prof_Adventure_guide

    Shahidi wa Siri Bila Msingi: Uvunjifu wa Katiba, Sheria na Akili ya Haki

    Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  19. Expensive life

    Anaweza kuwa shahidi wa Siri?

    Wakuu hao mashahidi wa siri ni kina nani? 🐍
  20. Roving Journalist

    Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

    Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
Back
Top Bottom