shabiby

  1. Uongozi wa Shabiby Bus Terminal waboresha vyoo vya Kituo cha Shabiby Bus Terminal - Dodoma

    Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri. Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
  2. Shabiby: Sijaitwa TAKUKURU na hakuna wa kunitisha

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 02, 2026, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Shabiby amesema taarifa hizo si za kweli, akisisitiza kuwa hakuna hata mmoja wao aliyepokea wito kutoka TAKUKURU kama inavyodaiwa. “Hapana, mimi sijawahi kuitwa, na hata nimemuuliza mwenzangu Kangi...
  3. K

    Mkakati wadaiwa kupangwa kuwashambulia Shabiby, Kangi Lugola

    KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  4. A

    Wabunge kukemea ufisadi bungeni ni kumsaidia Rais Samia. Shabiby, Kangi Lugola wakitajwa

    Bunge la 13, Mkutano wa Pili unaendelea Jijini Dodoma ambapo waheshimiwa wabunge wanaijadili hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Novemba, 2025 wakati akifungua bunge hilo tukufu la 13 tangu Uhuru. Kila mbunge aliyepata nafasi ya kuongea kuhusu hotuba hiyo, aliangalia kile ambacho anaweza kukichakata...
  5. TAKUKURU yawaita Shabiby na Kangi Lugola

    Gazeti la Mwananchi la Januari 31, 2026 hii ndiyo haba kuu ambapo wamedai, Bosi wa Takukuru afunguka sakata likichukua sura mpya, orodha yasubiriwa. Wasomi wataka hoja zisiishie bungeni, hatua zifuate. Huku Chief Odemba akiandika alichokisema, Crispin Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya...
  6. A

    AHMED SHABIBY AWALIPUA MAFISADI, ASEMA YEYE NI USALAMA WA TAIFA WA KUJITEGEMEA

    MBUNGE wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Ahmed Shabiby amewalipua mafisadi akisema kuwa, kwa sasa wanapiga pesa kiuhakika na kuporomosha majumba ya maana. Shabiby ameyasema hayo, leo bungeni Dodoma katika Bunge la 13, Mkutano wa pili, Kikao cha pili kilichoongozwa na Spika Mussa Azzan...
  7. KERO Barua ya wazi kwa Shabiby bus

    Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo: Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la...
  8. W

    GE2025 Mgombea Ubunge CCM Gairo, Ahmed Shabiby afanya kampeni zake kwa helikopta

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
  9. GE2025 Shabiby kutoa mikopo ya Pikipiki isiyokuwa na riba huko Gairo

    Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza Jimbo hilo atakopesha mikopo ya pikipiki isiyokuwa na riba kwa wananchi ,pikipiki zitakazowasidia wananchi katika shughuli za kilimo. Shabiby...
  10. N

    Shabiby Line ya Dodoma-Songea acheni uswahili tunzeni muda

    Kama basi linatakiwa kuondoka saa 02.00pm Songea kwanini mpaka sahivi haionekani? SuperFeo ya route hiyi kashafika mbali. Wahudumu mtakuja kuua biashara za watu, achenu uswahili.
  11. M

    KERO Shabiby Bus Acheni kukera

    Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane? Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki kupitaliza. Badilikeni jamani. Makelele ni dalili ya ushamba uliopitiliza. Gari ni ya kiwango cha juu kwa...
  12. A

    Mabasi ya shabiby yapata tenda kusafirisha staff, wachezaji mashindano ya CHAN, yabandikwa logo ya chan

    Kinachotrendi mitandaoni kwa sasa ni Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line kupewa tenda ya kusafirisha staff wakiwemo wanasoka kwenye Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 ambayo yanafanyika mwaka huu 2025. Kwa mujibu wa taarifa, tenda hiyo amepata Mkenya ambaye alipewa...
  13. A

    Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  14. T

    Ili tule pesa ya Shabiby kura ya maoni Gairo ni kumshindanisha na Prof. Joel Mmasa mgombe mwenye nguvu. Tutamchangia pesa ya fomu Profesa.

    Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
  15. W

    PreGE2025 Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo. Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo amechukua fomu mapema leo Juni 28. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
  16. A

    Barabara ya Dar-Tanga 'kimewaka', Ratco aambiwa 'saizi' yake ni abood siyo shabiby line

    Kwenye mitandao ya kijamii leo, kumekuwa na habari kuhusu Kampuni ya Mabasi ya Ratco kuingiza barabarani mabasi mapya mawili na kuelezwa sasa mabasi hayo yatakuwa yanapishana nusu saa kuanza safari. Mchangiaji mmoja alikwenda mbele zaidi akiandika; RATCO AMETOA GARI MBILI LEO KWA KILA NUSU SAA...
  17. A

    Shabiby; ukoo wenye 'damu ya biashara ya mabasi', satco express na shabiby line ni 'ndugu wa damu moja'

    Poleni na kazi wadau. Napenda kusema kwa maandishi kuwa, zipo familia hapa Tanzania zimetolewa na karama fulani. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Rashidi Ally Matumla kuzaliwa kwa kuwa mabondia. Kama ilivyokuwa kwa familia ya Sunday Manara kuzaliwa kwa kuwa wacheza mpira. Kama ilivyo kwa familia...
  18. A

    Shabiby Line yaanza 'utawala' wa Barabara ya Dar-Tanga kila siku!

    Hatimaye, mabasi ya kisasa ya Shabiby Line yameanza safari zake za kutoka Dar kwenda Tanga na kutoka Tanga kwenda Dar kila siku iitwayo leo. Safari hizo zimeanza Wiki iliyopita na tayari abiria wa Tanga-Dar na Dar -Tanga wameanza kuchangamkia usafiri huo kutokana na ubora wa mabasi hayo toleo...
  19. A

    UJIO WA MABASI YA SHABIBY LINE DAR-TANGA WAZUA HEKAHEKA, WAMILIKI WENGINE WAKUNA VICHWA!

    Wakati Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ikiwa kwenye maandalizi ya kuanza safari zake za Dar -Tanga, Tanga-Dar kila siku, tayari baadhi ya wamiliki wa mabasi wenyeji wameanza 'kukuna vichwa' wakipanga mikakati ya kuongeza mabasi ya kisasa ili kumudu ushindani. Habari kutoka mtandao mmoja wa...
  20. A

    Sifa 10 mabasi mapya ya shabiby, Dar-Tanga

    Zimebaki wiki mbili kufikia Mei ambapo mabasi mapya ya Shabiby Line yataanza safari mpya toka Dar kwenda Tanga na toka Tanga kwenda Dar. 'Mashine' hizo za kisasa zipo Bandari ya Dar zikikamilishiwa utaratibu tayari kwa kuanza safari huku wananchi wakisubiri kwa hamu kubwa ruti hiyo mpya. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…