sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

    Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana. Pia, Soma=> ~ Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje? ~ TRC: Tumewakamata...
  2. JamiiForums Tanzania Treni ya SGR sio mali ya CCM ni mali ya Watanganyika. WanaCCM acheni kutafuta sifa. Hayati Magufuli angekuwa amemaliza ujenzi

    Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni? Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

    China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa. Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaJF tusinunue kichwa kimoja cha SGR na mabehewa 8?

    Wakati rais Samia akifungua reli ya SGR alisema utaratibu unaandaliwa kwa wawekazaji binafsi kuwekeza katika reli hii. Wakati wakina Bakhresa wakijiandaa kuchangamkia fursa hii. Ni wakati sahihi na sisi wanaJF kuchangamkia fursa hii muhimu. Tuanzishe kikundi maalumu, tukusanye hela halafu...
  5. JamiiForums Tanzania SGR Dodoma - Dar es Salaam

    SGR DOM - DAR
  6. JamiiForums Tanzania SGR Itaboresha Vipaji Hivi

    1.Wafanyabiashara wa mabasi Mfano ndugu Ahmed Shabiby aliwahi nukuliwa kwenye mahojiano kwamba basi lake la kwanza alimiliki akiwa na miaka 19. Bila shaka mpaka sasa ana uzoefu mkubwa mno, na ni muda wa kutumia ujuzi huo ku-diversify (kutoweka mayai kapu moja) kumbuka walomtangulia kama Sumry...
  7. JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi kutokana na hitilafu ya umeme katika Treni ya SGR

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
  8. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  9. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili tren ya SGR isife!??

    Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.! Nilitaka kutabiri muda wa anguko au kufa Kwa SGR nikakuta kumbe kuna nabii kashaa tabiri kwamba haifiki miaka 6 hii tren itashindwa kuendelea, mimi nilitaka niipe miaka 2 pekee. Sasa ipo hivi, huu mradi ni wetu sote na unatusaidia zaidi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

    Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso. Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20 bila kuambiwa chochote. Immediate action zinatakiwa kuchuliwa ili kunusuru ufanisi wa train yetu...
  11. JamiiForums Tanzania Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!

    Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024 Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
  13. JamiiForums Tanzania SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

    Haya ndio matokeo ya SGR, imeleta machaguo zaidi kwa abiria. Sasa hata nauli Abood imeshuka kutoka 13,000 mpaka 10,000. SSH5tena
  14. JamiiForums Tanzania Nikikumbuka Mabasi ya Mwendokasi, TAZARA, TRC, KAMATA, UDA, ATC, makampuni ya usafiri ya mikoa KAUDO, KAUMA, KAURI nk sina Imani na SGR

    Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa yenye kamera, screen, mike zikifanya kazi na mpangilio mzuri wa tiketi hadi kutumia kadi na simu...
  15. JamiiForums Tanzania Mliopanda SGR eti ni kweli kuwa sehemu ya 'Kuukweka' katika Mabehewa yake ni kama vile uko White House Marekani?

    Yaani unaweza 'Ukaukweka' huku ukiwa unakula Chakula chako Safi huku kwa nje ukiwakodolea tu Bundi na Ngedere.
  16. JamiiForums Tanzania Ex-Mayor alivyoumizwa na tukio la Kukatika Umeme kwa treni, inaumiza sana sana

    Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR. NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR. Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo Agosti 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
  18. JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu SGR yanayotolewa na baadhi ya abiria

    Treni za Mwendokasi ni treni nzuri sana, in short they are comfortable and fast. Lakini kama mwanaharakati, I haven't noticed many obligations but recently people in the social medias wameleta malalamiko yafuatayo; 1. No smoking zone in waiting area Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yalipa fidia ya kupisha Reli ya SGR kwa Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo (Uyui-Tabora) waanza kuhama

    Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa. Hoja la malalamiko ya awali...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye SGR Tushike lipi tuache lipi?

    Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini? Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…